Msamaha wa Kodi ya Kiinua Mgongo kwa Wabunge, Mawaziri, Rais, Wakuu wa Mikoa na Wilaya Wafutwa

Waziri wa fedha akijibu hoja zilizotolewa na wabunge leo ametangaza rasmi viongozi wote wakuu wa serikali kuanzia Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, na Wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na wabunge wote viiunua mgongo vyao kukatwa kodi!

Hii ni baada ya wabunge kulalamika iweje wao wakatwe kodi na kuwwacha viongozi wengine wa kisiasa kukatwa kodi.

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama tunabana matumizi safari zote za viongozi nje ya nchi na ndani ya nchi pamoja na misafara yao. Iwekwe wazi na gharama zake kila wanaporudi
    Vinginevyo ni longa longa tu
    Vile tajeni mishahara ya wakuu hadharani kwani sisi wanainchi tutapima mali walizonazo

    ReplyDelete
  2. This is called Leadership Ethic's Our JPJM has been the first one to wear our Shoes before his.. Leading by example.. Ametaka yeye awe wa mwanzo katika kukatwa Kodi,, Haya utasema nini .. au utapata wapi kiongozi wa namna hii?? hasa katika nchi za Barani kwetu ambapo kila mmoja anataka maslahi ya kujitengenezea mazingira Hewa... Mungu akuweke na akulinde ulitumikie hili Taifa na kulirudisha katika heshima na maendeleo kwani ni dhahiri inathibitisha kuwa Ubadhirifu na ufujaji mali ya uma umeuchukia na hauutaki.. Asante baba

    ReplyDelete
  3. This is called Leadership Ethic's Our JPJM has been the first one to wear our Shoes before his.. Leading by example.. Ametaka yeye awe wa mwanzo katika kukatwa Kodi,, Haya utasema nini .. au utapata wapi kiongozi wa namna hii?? hasa katika nchi za Barani kwetu ambapo kila mmoja anataka maslahi ya kujitengenezea mazingira Hewa... Mungu akuweke na akulinde ulitumikie hili Taifa na kulirudisha katika heshima na maendeleo kwani ni dhahiri inathibitisha kuwa Ubadhirifu na ufujaji mali ya uma umeuchukia na hauutaki.. Asante baba

    ReplyDelete
  4. Hongeraáaaaaaa Mchapa Kaziiiiiii..Hapa Kaziiiii tuuuu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad