Msanii Rashid Abdallah Makwiro 'Chid Benz' ajiunga katika lebo ya WCB

Msanii maarufu wa miondoko ya kufoka/kurapu Rashid Abdallah Makwiro al maarufu kama CHID BENZ amejiunga rasmi katika lebo ya Wasafi Classic Baby WCB mchana Iliyo chini ya mwanamuziki machachari kabisa Diamond platnumz.

Taarifa hizi zimepatikana kupitia mtu wa karibu sana wa Babu Tale. Na pia kituo cha kuaminika cha redio yaani CloudsFM kimetaarifu mchana wa leo.....
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa hilo ndilo tatizo la Wabongo. Badala ya kuangalia mambo mengine zaidi sasa ndio itabakia story ya kila mwanamuziki wa Bongo Fleva kujiunga na hiyo sijui ndio Wasafi Classic Baby ama Wazeee Classic Baby duh. Mpaka mnatia na huruma. Mnakaaa kiutumwa zaidi badala ya kujitegemea. Kila mtu wa Bongo Fleva anataka kuyalamba matako ya huyo Domo Diamond Platinamuzi dah.

    ReplyDelete
  2. Wasenge wakubwa nyie wasaniii mnaojiunga na Wazeee Classic Baby (WCB)

    ReplyDelete
  3. Jamaa katoroka rehab sasa anataka kujiunga na WCB, Diamond kaa macho usizibe macho na huyu jamaa

    ReplyDelete
  4. DIAMOND WATCH OUT USIJE UKAANZA KULA BIMBWI!!!!

    ReplyDelete
  5. Acheni upimbi nyie.....wasanii wenyewe wanajua wanataka nini kwani nyie wasanii nyoro zinawapwita nini mbuzi nyie.Watu wanafata management na sio vinginevyo,,,,they need to grow na ndo maana wanatafuta mtu anaweza kuwasimamia wakafanya kazi. Acheni kuropoka hapa fanyeni kazi zenu huko mmekua wa kukosoa kila jambo wakati maisha yanawafinger tu wapuuzi nyie

    ReplyDelete
  6. wala unga WCB

    ReplyDelete
  7. ni kweli WCB wala unga na Diamond ni mla unga maarufu

    ReplyDelete
  8. Chid Benz bado anakula unga, mla unga ni mla unga tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad