Mwakyembe Awamaliza CHADEMA Bungeni!

Anamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder!

Kwa kweli hawa Wabunge wa chadema sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa chadema!
Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dozi imeanza kwisha mpelekeni India na yeye Mwakyembe
    Fyuuuuuuu

    ReplyDelete
  2. uko sahihi mwakyembe wanakurupuka tu hao

    ReplyDelete
  3. nafikili wafikilie mara mbili matendo yao wanayoyafanya wakachunge mbuzi

    ReplyDelete
  4. wanapoambiwa ni vilaza wanalalamika

    ReplyDelete
  5. hao ni wabunge hewa inakuwaje wanaendelea kupewa posho?

    ReplyDelete
  6. NDIO HAPO MUONE KOSA LA KUCHAGUA WABUNGE BILA KUTAZAMA ELIMU YAKE,ETI ILI MRADI ANA UWELEWA NA AJUE KUONGEA.

    ReplyDelete
  7. Bunge la TZ VILAZA wengi sana.

    ReplyDelete
  8. Wengi wenye diploma si maana wanauwezo ni sifa ya kaRatasi tu.msidanganye watu na kuwahadaa.wenye elimu za juu ccm ndio waliotumia elimu zao vibaya.wengi wenye hekima na uzalendo hawana elimu za juu.msitumie elimu zenu kama tiketi. Mmewaona wapinzsni haohO unaowasema ndio wenye kutoa hoja safi bungeni.wenye elimu wengi wamekuwa mafisadi.msiwadharau wasio na phd ambayo ni karatasi tu. Acheni dhRU zenu na kufunika uongo wenu.mnashinwa kuwstumbua vigogo wa c m na kuwatetea.bado mnalindana.acheni mejeli za usomi zisizo na msingi.

    ReplyDelete
  9. hawa kambi rasmi ya upinzani kweli hawana akili wao wamesema hawana imani na tulia inakuwaje hotuba zao zinawasilishwa kwa naibu spika ambaye walisema hawana imani nae hivi kweli vibweka mpaka lini na wapoipeleka na tulia anaipokea wanakua wamefanya nini. au wanataka nini juu ya tulia mbona hatuwaelewi kweli vilaza hawa, kama hamna imani na tulia mbona hotuba zenu mezani kwa tulia na zinajadiliwa na naibu spika anaongoza mjadala nyie tokeni tu nendeni nje tena msionekane bungeni wapuuzi wakubwa mnachezea akili zetu mnakuwa kama watoto na kujipa majina ambayo hayana mvuto kabisa achni kuzuia kasi isiendelee hamna akili nyie semeni mnachokitaka HAPA KAZI TUUUU,

    ReplyDelete
  10. kilichobaki ni kula pombe kama kitwanga

    ReplyDelete
  11. vilazaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo jamani

    ReplyDelete
  12. Safi Sanaa waambie ukwelii huyo kiongozi wao mbowe Ana cheti cha darasa la saba tuu Hahahaaa aibuuuu kazi kuropoka bungeni tuu vichwa vyaoo zerooo!!!!

    ReplyDelete
  13. Mboa hamiweki zangu.

    ReplyDelete
  14. Wewe uliyeandika kichwa cha habatri hiki pia kilaza.elimu yako hata ikiwa kubwa huna utashi.mwskyembe kama anaelimu ni suti ua nje na irembo mtupu.angekuwa na utashi asingetoa hoja hii. Ni maskini wa kufikiri hakutakiwa apewe cheo asichoweza kikimudu. Elimu za kununua lamini kichwani maji.mmekuwa mawaziri mizigo nchini mkitumika kama vibaraka vya wazungu na wachina.mbele zao hamfui dafu .mnawanyanyasa hao uliowataja hata kama hawsna phd ni wasomi kulimo karataso ysmo ya phd sababu inaonyesha wazi huimudu kazi yako.ni mizigo mitupu.ni nyinyi wenye elimu finyu na majivuno yasiyo na msingi. Badala ys kuesbsna na kusimaa eima kutetea nchi kwa mafisadi na makabaila wa nje hata kunegotiate deal hammjui .mnawaheshimu.badala yake mnawanyanyasa wapinzani waliosimama kidete wakiwaambieni ninyi mizigo mnawanysnyasa.ccm ni janga Tanzania.iopewa vyeo wengi wenu ni mizigo mitupu pamoja na phd zenu za mununua.aibu tupu zmwakembe. Hata mwanafunzi wa shule ya msingi mwenye udadosi atakuona elimu yamo hewa na unachoongea hewa.

    ReplyDelete
  15. eti degree sita??yaani degree zenu wa kina mwakyembe ndio za kuwaibia watu?mnaacha mfanye kazi za taaluma yenu nyie kazi kupiga deal,na wewe mwakyembe huko jimboni kwako hujafanya lolote la maana na udaktari wako,akina nasari wa arumeru and degree moja lakini mambo aliofanya jimboni kwake ate chembe mwakyembe humfikii sababu hakuna ulichofanya jimboni kwako,mnachowaza kusifiwa na degree zenu lakini hazizalishi kitu,watanzania siyo wale wa wa zamani tumeamka sasa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad