Web

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Hawa Ghasia Akataa Wabunge Kukatwa Kodi Katika Kiinua Mgongo

Top Post Ad

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti Hawa Ghasia amedai kuwa kuwakata kodi kwenye viinua mgongo ni kuwakata kodi mara mbili kwa kuwa wanakatwa kodi tayari kwenye mishahara yao na ametaka serikali kufikiria tena suala hilo..

Below Post Ad

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. lazima walipe kodi hao kwa sababu sisi wafanyakazi tunakatwa kodi zaidi ya 4 (mishahara ya kila mwezi, unapostaafu kazi) n.k

    ReplyDelete