Mwingine Adakwa Kwa Kumkashifu Rais Magufuli Kwenye Mtandao wa "WhatsApp"

Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais kwenye mtandao wa WhatsApp.

Hapa cha muhimu ni kujuwa sheria hii inafanya kazi, inakamata, inahukumu na kufunga wananchi. Tutumie lugha ya staha, vijana hamko salama kwenye fb, twitter na WhatsApp...sheria ya mitandao ipo na inazunguka kama Simba aungurumae akitafuta mawindo.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lugha chafu za kukosa maadili ni kosa tunajua hivyo na kibinaadamu mtu huwezi kumtukana mtu kwa kuwa umependa kufanya hivyo na huna haki ya hiyo na nilazima tudumishe utamaduni wetu kwa kuto muudhi mtu au kumkashifu mtu.. Sababu sheria zipo za kukemea hayo na kiukweli huwa zinangoja yeyote atakae fanya kosa hilo... Na mahakamani atafikishwa kujibu shtaka hilo..Hapa ni kazi tu na upendo na uaminifu ndiyo tunacho kitaka ili twende mbele..Hongera TCRA. na Wahusika wakuu. Maadili yatarudi kila tunavyo weza kukemea.

    ReplyDelete
  2. Balaaa hili duuuh...

    ReplyDelete
  3. Wacha Uwoga wewe Anony 7:17 , au nyinyi ndio wale " kina ndio Baba ? ,mbona watatufunga wengi safari hii ? maadili gani unayoyajuwa wewe ?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad