Naibu Spika Aagiza Wabunge Watakaokuwa Wanasusia Bunge Kutolipwa Posho

Kutokana na wabunge wengi waCCM kulalamika na kuomba mwongozo wa spika juu ya wabunge wanaotoka nje baaada ya kujisajili, naibu spika amelipitia suala hilo na hatimaye kuja na hitimisho kuwa wabunge hao hawatapokea posho zao kwa kipindi chote ambacho hawakuhudhuria vikao.

Amesema uamuzi huu ameufikia baada ya kupitia maamuzi mbalimbali yaliyotolewa na bunge juu ya wabunge ambao walikuwa wanaondoka bila kuchangia mjadala ambapo tarehe 08/04/2008 wabunge wa chama cha CUF walitoka bungeni na kususia shughuli zilizokuwa zimepangwa na kiti kilitoa uamuzi wa kutowalipa posho kwa siku zote watakazokuwa nje

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uamuzi na sawa kabisa!! Bunge aliyeshindwa kujua sababu ya yeye kuwa hapa bungeni ni sawa na mzururaji ambaye amefika ofisini na ametoka kwa kisingizio cha kwenda kufafuta dili nje za maisha. ambayo huo ulikuwa ni mwendo wa kawaida hapo awali. watu walikuwa hawawajibiki inavyo paswa ndiyo tukaishia katika kila mbinu za kubuni na kuleta kila mbinu za hewa na mchi ikaingia katika uvumbuzi wa HEWA kila unapo kwenda . na sasa wabunge wanaoitwa waheshimiwa wanajaribu kuthibitisha kwamba na wao pia Hewa ni mrindo wa maisha... Tunasema TUMELIKATAA HILO!!! Wajibika / Aminika/ uwena ubunifu wa maendeleo / changia/ na wacha siasa hapo.. Kuwa Mzalendo masilahi ya taifa weka mbele kabla ya sera zako na chama chako... Tunachotaka ni Maendeleo bila kujali wewe umetokea wapi katika Dini yako / Kabila yako / na chama chako.. Hili ni Bunge la Taifa na siyo la chama wala kabila.. Tanzania ni Moja na watu wake ni wamoja na wote tunaguswa na adha na miundobinu ambayo hivi sasa Baba JPJM na serikali wamedhamiria na wanawajibika kuona kwamba nchi inabadilika na watu wanarudisha Nidhamu na Uaminifu katika kila nyanja za uwajibikaji kuziboesha kufikia malengo... Tunachoomba ni ushirikiano mwema na Kila mmoja wetu anashirikia ipasavyo katika wadhifa aliokabidhiwa kwa uadilifi na asiwe mbadhirifu na atende haki kwa wote bila kijali vyote tulivyo vikataa kama Undugu/ Urafiki/ Kabila / Dini / Ujamaa...we need performer and achiver with high standard of discipline .. and educated.... ambao watatusaidia katika hii safari... Nia ni njema na muonekano ni mzuri na kasi yake pia inaridhisha na Tunamuombea Baba JPJM na huu mwezi mtukufu mungu akulinde na akupeni afya njema na Mh K.majaliwa muzidi kuktutumikia kwa Ujasiri na Uzalendo mlionao kwa hali ya juu ... Posho zikatwe toka walivyo anza huo Urasimu usio na mashiko ulio jaa chuki na kukosa Uelewa... Dr Tulia Hongera Mama.....Pamoja sana.

    ReplyDelete
  2. Uamuzi na sawa kabisa!! Bunge aliyeshindwa kujua sababu ya yeye kuwa hapa bungeni ni sawa na mzururaji ambaye amefika ofisini na ametoka kwa kisingizio cha kwenda kufafuta dili nje za maisha. ambayo huo ulikuwa ni mwendo wa kawaida hapo awali. watu walikuwa hawawajibiki inavyo paswa ndiyo tukaishia katika kila mbinu za kubuni na kuleta kila mbinu za hewa na mchi ikaingia katika uvumbuzi wa HEWA kila unapo kwenda . na sasa wabunge wanaoitwa waheshimiwa wanajaribu kuthibitisha kwamba na wao pia Hewa ni mrindo wa maisha... Tunasema TUMELIKATAA HILO!!! Wajibika / Aminika/ uwena ubunifu wa maendeleo / changia/ na wacha siasa hapo.. Kuwa Mzalendo masilahi ya taifa weka mbele kabla ya sera zako na chama chako... Tunachotaka ni Maendeleo bila kujali wewe umetokea wapi katika Dini yako / Kabila yako / na chama chako.. Hili ni Bunge la Taifa na siyo la chama wala kabila.. Tanzania ni Moja na watu wake ni wamoja na wote tunaguswa na adha na miundobinu ambayo hivi sasa Baba JPJM na serikali wamedhamiria na wanawajibika kuona kwamba nchi inabadilika na watu wanarudisha Nidhamu na Uaminifu katika kila nyanja za uwajibikaji kuziboesha kufikia malengo... Tunachoomba ni ushirikiano mwema na Kila mmoja wetu anashirikia ipasavyo katika wadhifa aliokabidhiwa kwa uadilifi na asiwe mbadhirifu na atende haki kwa wote bila kijali vyote tulivyo vikataa kama Undugu/ Urafiki/ Kabila / Dini / Ujamaa...we need performer and achiver with high standard of discipline .. and educated.... ambao watatusaidia katika hii safari... Nia ni njema na muonekano ni mzuri na kasi yake pia inaridhisha na Tunamuombea Baba JPJM na huu mwezi mtukufu mungu akulinde na akupeni afya njema na Mh K.majaliwa muzidi kuktutumikia kwa Ujasiri na Uzalendo mlionao kwa hali ya juu ... Posho zikatwe toka walivyo anza huo Urasimu usio na mashiko ulio jaa chuki na kukosa Uelewa... Dr Tulia Hongera Mama.....Pamoja sana.

    ReplyDelete
  3. Uamuzi na sawa kabisa!! Bunge aliyeshindwa kujua sababu ya yeye kuwa hapa bungeni ni sawa na mzururaji ambaye amefika ofisini na ametoka kwa kisingizio cha kwenda kufafuta dili nje za maisha. ambayo huo ulikuwa ni mwendo wa kawaida hapo awali. watu walikuwa hawawajibiki inavyo paswa ndiyo tukaishia katika kila mbinu za kubuni na kuleta kila mbinu za hewa na mchi ikaingia katika uvumbuzi wa HEWA kila unapo kwenda . na sasa wabunge wanaoitwa waheshimiwa wanajaribu kuthibitisha kwamba na wao pia Hewa ni mrindo wa maisha... Tunasema TUMELIKATAA HILO!!! Wajibika / Aminika/ uwena ubunifu wa maendeleo / changia/ na wacha siasa hapo.. Kuwa Mzalendo masilahi ya taifa weka mbele kabla ya sera zako na chama chako... Tunachotaka ni Maendeleo bila kujali wewe umetokea wapi katika Dini yako / Kabila yako / na chama chako.. Hili ni Bunge la Taifa na siyo la chama wala kabila.. Tanzania ni Moja na watu wake ni wamoja na wote tunaguswa na adha na miundobinu ambayo hivi sasa Baba JPJM na serikali wamedhamiria na wanawajibika kuona kwamba nchi inabadilika na watu wanarudisha Nidhamu na Uaminifu katika kila nyanja za uwajibikaji kuziboesha kufikia malengo... Tunachoomba ni ushirikiano mwema na Kila mmoja wetu anashirikia ipasavyo katika wadhifa aliokabidhiwa kwa uadilifi na asiwe mbadhirifu na atende haki kwa wote bila kijali vyote tulivyo vikataa kama Undugu/ Urafiki/ Kabila / Dini / Ujamaa...we need performer and achiver with high standard of discipline .. and educated.... ambao watatusaidia katika hii safari... Nia ni njema na muonekano ni mzuri na kasi yake pia inaridhisha na Tunamuombea Baba JPJM na huu mwezi mtukufu mungu akulinde na akupeni afya njema na Mh K.majaliwa muzidi kuktutumikia kwa Ujasiri na Uzalendo mlionao kwa hali ya juu ... Posho zikatwe toka walivyo anza huo Urasimu usio na mashiko ulio jaa chuki na kukosa Uelewa... Dr Tulia Hongera Mama.....Pamoja sana.

    ReplyDelete
  4. Hii Safi sana!! Walikuwa wanatuibia kimacho macho bila hata haya... Waheshimiwa wanajua kuwa nchi inabana matumizi na kufanya jitihada zote kukusanya Kodi hawa Wahesabiwa wanajihesabu katika kupokea posho bila kuwajibika... Yaani wanafikiri nchi haina uchungu na wananchi wake mpaka wapate posho kiulaini... Wamekosea na kutojua wajibu wao na pia maadili ya utumishi bora...Ulipwe bila jasho... ama kweli... Mmepiga chini....mtanyooka hii n i Tanzania mpya na siyo ile mliozoeaaaaaaa... Hapa kazi Tu.. na utalipwa kwa kazi yako... Nguvu Jasho si Hewaaaaaaaa ...

    ReplyDelete
  5. Hiyo hawa wabunge in Sawa Na MP's au kuna tofauti?? Au mimi sielewagi!!! Mimi naona kama ni matapeli au sivyo?

    ReplyDelete
  6. Mama, Utawaona wote wanaanza Kurudi na kukaa.. Unacheza na Posho!!!

    ReplyDelete
  7. Haitutishi ngo
    Kibaby cha ccm

    ReplyDelete
  8. HAO NI WABUNGE HEWA INASTAHILI KABISA WASILIPWE POSHO WALIKUWA NATAFUTA NJIA YA KUFANYA KAZ ZAO NJE NA POSHO IMEKULA KWAO KAMA HAWAHUDHURII WASI[PEWE POSHO SAFI SANA DADA TULIA UKO VIZURI NAKUPENDA GHAFLA MWANAMKE MSIMKAMO BWANA MATAPELI WAKUBWA HAWA

    ReplyDelete
  9. SAFI SANA TULIA MUONGOZO UMETULIA SANA HUO

    ReplyDelete
  10. WATARUDI CHEZEA POSHO WEWE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad