Kwa kawaida, Spika wa Bunge, Job Ndugai au naibu wake wanapokuwa na shughuli nyingine, huachia kiti hicho kwa wenyeviti watatu wa Bunge kuendesha vikao, lakini safari hii Dk Tulia amekuwa akiingia kila siku asubuhi na jioni.
Mei 31, mwaka huu wabunge wote wa upinzani walianza kususa vikao vinavyoendeshwa na kiongozi huyo kwa madai ya kutokuwa na imani naye, hasa baada ya kuzuia hoja ya kufukuzwa kwa wanafunzi 7,802 katika chuo cha Udom.
Hoja hiyo iliwasilishwa na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari lakini Dk Tulia alisema haikuwa na umuhimu kwa wakati huo, jambo lililozua tafrani baina ya kiongozi huyo na wabunge wote wa upinzani.
Kutokana na hali hiyo, wabunge hao walipitisha azimio la kususa vikao vinavyoendeshwa na kiongozi huyo na tangu siku hiyo, kila anapoingia bungeni kuongoza kikao wamekuwa wakitoka ukumbini.
Spika wa Bunge, Job Ndugai ambaye kwa sasa yuko nchini India kwa matibabu, amekuwa akisaidiwa na Dk Tulia pamoja na wenyeviti watatu wa Bunge ambao ni Mbunge wa Ilala (CCM), Mussa Azzan Zungu, Mbunge wa Bariadi Andrew Chenge
Tangu wabunge wa upinzani waanze kususa vikao vinavyoongozwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson, kiongozi huyo wa Bunge ameamua ‘kukomaa’ na kiti hicho, hatua inayosababisha wapinzani wasipate fursa ya kutia mguu bungeni.

Hapa kazi tu endelea mama na hongera kwanz hao eti ni wapinzan hatuwatak wabak makwao kwan hata kuwepo kwao bungeni hausaidii chochot kwan wanalet vurug na poroja bila kufany walio tumwa na wanainchi walio wachagua ili wawakilish. So watakion chamtem kuni 2020 wakat watatak kur ten. Nahap watakua wanaulizw kit gan walich kifany. Aibu kwao kwasabab hawajielew.
ReplyDeleteAnajitesa mwenyewe na vijisentii vya posho
ReplyDeleteHatugeuki jiwe ngoooo
Aendeshe hao wanaomwita mama wakitegemea kuteuliwa kwenye kamati za bunge
Ukawa jembe
pumba hujielewi unachokiandika nenda shule na acha ushabiki wa kijinga, sizitaki mbichi hizi kumbe unazitaka
DeletePumba wewe usiyejuwa dunia wala akhera
DeleteKukubali kila kisemwacho
Hata Kama hakina tija
Futyyyyyyyyy
Pumbavu
Katuka bunge vishindo awape hayo waliompigia kura
ReplyDeleteNa akae si bungeni atembelee na majimbo asikie vishindo vyetu
Fyuuuuuhhhhh