Siku za karibuni kumekua na picha nyingi zmesambaa zikimwonyesha Wema Sepetu akiwa na umbo ambalo watu wengi hawakulielewa na wengi walikimbilia kusema kua Wema anatumia dawa za mchina kungeza makalio. Team Wema wengi walijitokeza na kumtetea Wema kua zile picha zilikua Edited huku wengine wakimlaumu Wema kwa hali aiyofikia.
Waswahili wanasema mtoto kwa mama hakua na ara tu baada ya mama Wema kuzisikia habari hizo aliamua kuvunja ukimya na kuwachamba wale wote wanaomsema vibaya mwanae kua katumia mchina. Unaweza tazama video hii hapa
looooo, heading nyingine habr nyingine, be serious you guyz
ReplyDeleteUMBEA UMBEA UMBEA,MPAKA UNACHANGANYA SUKARI NA CHUMVI KWENYE MBOGA,LOL!
ReplyDeleteUMBEA UMEWAZIDI UDAKU!!
ReplyDeleteMtu nzima hovyo na ramadhani yote hii
ReplyDeleteMwanamke wa kiislam
AMA kweli nyoka huzaa nyoka
ReplyDelete