Mama WEMA Sepetu Awapa Makavu live Wanaosema Wema Ana Shape Mbaya

Siku za karibuni kumekua na picha nyingi zmesambaa zikimwonyesha Wema Sepetu akiwa na umbo ambalo watu wengi hawakulielewa na wengi walikimbilia kusema kua Wema anatumia dawa za mchina kungeza makalio. Team Wema wengi walijitokeza na kumtetea Wema kua zile picha zilikua Edited huku wengine wakimlaumu Wema kwa hali aiyofikia.

Waswahili wanasema mtoto kwa mama hakua na ara tu baada ya mama Wema kuzisikia habari hizo aliamua kuvunja ukimya na kuwachamba wale wote wanaomsema vibaya mwanae kua katumia mchina. Unaweza tazama video hii hapa 

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. looooo, heading nyingine habr nyingine, be serious you guyz

    ReplyDelete
  2. UMBEA UMBEA UMBEA,MPAKA UNACHANGANYA SUKARI NA CHUMVI KWENYE MBOGA,LOL!

    ReplyDelete
  3. UMBEA UMEWAZIDI UDAKU!!

    ReplyDelete
  4. Mtu nzima hovyo na ramadhani yote hii
    Mwanamke wa kiislam

    ReplyDelete
  5. AMA kweli nyoka huzaa nyoka

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad