Nilifanya Nae Mapenzi Kinyume na Maumbile, je Anafaa Kuoa?

Nilikuwa na mpenzi wangu, tulipendana sana, nilimteka akili sana, tulifanya mapenzi kwa muda mrefu sana ikatokea siku nikajaribu kuingiza kidole nyuma nikaona ametulia, pepo likaniingia, siku ingine nikaendelea akanyamaza, siku ya tatu nikajaribu kuingiza dushelele akatulia, ikawa ndiyo mchezo wetu.

Kwa kuwa alinipenda sana akaniambia anavumilia, iliendelea nikaja mpa ujauzito, nilikua namhudumia sana, nikahama kikazi. Toka siku hiyo ikawa ni mawasiliano namhudumia mpaka akajifungua kwa operation niliingia garama zote. 

Kiukweli alipata mtoto wa kike alitoka copryt na mm, tulifanana sana na mtoto sikuwahi enda ila namlea sana mtoto. 

Huwa naona aibu na uchungu kwa tabia na mchezo tuliokuwa tunafanya nafikiria je nimuoe? Na je navyosikia mwanamke akianza ule mchezo haez uacha, je atauacha? Na je tutakuwa na heshima? 

Naombeni ushauri wenu wa dhati Jamani
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tena sana anafaa kuwa mke
    Lakini jiandaye na wewe kutiwa kidole nyuma ili dhakari isimame

    ReplyDelete
  2. Mbwa wewe,sasa unajishauri kumuoa wakati wewe ndiYE uliyeanza kufanya huo mchezo?Hakuna njia nyingine zaidi ya kutubu na umrudie Mungu,yote yataisha.

    ReplyDelete
  3. Daaa hii Tabia, pamoja na vitabu vya dini kuandika kwa mkazo ma msisitizo, lakini kwa binadamu wapi, tumeanguka kila sehemu, sidhani kama dada wa watu aliluwa anapenda hicho kitendo ulichokuwa unamfanyia, ni kivile uchumi mdogo alikuwa nao nadhani anawaza ukimkatalia usije muacha nar anaogopa asiachwe iliyobaki akaona wacha tu mambo yaendelee labda utampenda zaidi, ni wakati umefika wa mwanamke kujikomboa kutoka katika kifungo yaani kuwa na maamuzi mwenyewe pasipo kuogopa mtu au maisha na kuwa na moyo wa ujasili wenye kuamua

    ReplyDelete
  4. kwa vile umetaka ushauri wacha nikujibu hakuna linaloshindikana kwa mungu tubu zambi zako wewe na mwenzio na mlijue kosa lenu ni lipi halafu ww uwe ndo mstari wa mbele kupiga marufuku huo mchezo jitahidi kumridhisha kupitia njia salama raha atakazopata atausahau huo mchezo mchafu alioufanya,utakapomwacha utabeba jukumu kubwa sbb ww ndio umemuanza kila atakapofanya hilo tendo na mwanaume yyt yule na ww utabeba jukumu,umemharibu kwa hiyo msaidiane kwenye hili jambo kwa pamoja ili muache

    ReplyDelete
  5. Pumbavuuuuu ungejua unataka uheshimiwe usingefanya hayo yote toka mwanzo...kajifungua kwa operation do u knw y??its bkz of yo mchezo wako mchafu ndo maana kashindwa kujifungua kawaida how wreck less yo ar...sasa ushamuharibu unahofia atashindwa kuacha kama uliyajua yote hayo kwann ulimfanyia i bet alikuwa anakubali ili asikukwaze...mapenz mengine jamn mi uniingizie hata kidole nusu niwe nimelewa sijalewa yani nitakutwanga maana ni mwanamke mmoja mwenye muscles ushenzi wahivyo kamfanyie dada ako kama unaona sawa...mabint msikubali hata kama unampenda mtu kiasi gani jamn ukiona analeta upuuzi kimbia he s not the only guy chaaa....

    ReplyDelete
  6. Ukimuacha utaendelea kuwaaribu wengine!! bora muoane muendeleze balaa lenu ambalo mmelizoea.

    ReplyDelete
  7. Nyie udaku mnapotosha jamii msituletee upumbavu kama huu.

    ReplyDelete
  8. Kama ukimuacha unajuaje nayule utakaye muoa alishafanyiwa uko nyuma?? Unatenda wasichana wawatu sikumoja ukiwa na mtoto wako nayeye atatendawa au wewe mwenyewe siku moja utaombwa nyuma.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad