Nuh Mziwanda Ajichora Tatooo ya Mpenzi Wake Mpya...Adai Huyu wa Sasa Amekuja Kwa Gia Kubwa....

Nuh Mziwanda Baada ya Kumpata mpenzi mpya amejikuta amerudia alilofanya kwa Shilole la Kujichora Tatoo Mkononi ya jina la mpenzi wake huyo mpya..

Nuh Amesema huyu wa sasa amekuja na gia kubwa sana kiasa anaamini anampenda kwa dhati, amempa sifa kuwa ni mwanamke anayependa marafiki zake sana tofauti alivyokuwa shilole...

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mara hii kuchora tatoo na mtu hata humjui vizuri hayo siyo mapenzi ya kweli

    ReplyDelete
  2. tatoo sio issue. muhimu mapenzi ya kweli. mdumu kwenye mahusiano muwe na future!!!!

    ReplyDelete
  3. Huo mwili sijui una hali gani ulivyouchafua na mawino hayo khaa vijana mna kazi

    ReplyDelete
  4. VIJANA ACHENI JAMANI PENZI LENYEWE NDIO KWANZA LINA MIEZI MITATU IVI MSHAJUANA TABIA KWELI? UNA HAKIKA MTADUMU? MIEZI 3 NI MICHACHE SANA KUTAZAMANA KATIKA MAPENZI, MWAWEZA KUWA WOTE WAPITA NJIA TU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad