Nuh Mziwanda athibitisha Jike Shupa alimuimbia Shilole kwa kumtumia video queen anayefanana naye kama pacha

Nuh Mziwanda ameelezea jinsi uhusiano wake na Shilole ulivyokuwa kwa dakika 3:50!

Kwa video ya wimbo wake Jike Shupa aliomshirikisha Alikiba, Nuh ameuelezea uhusiano huo ulitawaliwa na mateso, wivu uliokithiri, kichapo na tabu za kila aina.

Kuthibitisha kuwa wimbo huo unamlenga ex wake, amemtumia msichana anayefanana copyright na Shilole. Kwenye video hiyo pia Nuh hakuacha kuonesha tattoo ambazo Shilole alizichora enzi wakiwa wakiwa wapenzi.

Nuh amemuonesha msichana huyo kama mjeuri na ambaye wakati mwingine anarudi nyumbani akiwa chakari. Ni video nzuri, icheck hapo chini.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kiukwil ngom hii ninzur yaani kijan huu alikua amejiarib mwenyew wakat anasaut nzur ya kuimb. Saut yak na ya Kiba kiukwel zimetisha sana. Wimb unavutia mno mdaa huk tuk tunauchez hapa ulaya kweny ukumb wa vijan. Hongeren tunahitaj ingen ngom ya nyinyi wawili tena.

    ReplyDelete
  2. Umekung'utwa vibao mpaka mwenyewe ndio umepata akili ya kutoa nyimbo nzuri. Na bado utakutana na Shishi baby mwingine ambaye nadhani huyo ndio atakukomesha zaidi. Mbwa weeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  3. Nuh Mziwanda jipange tumekuchoka kila mara shilole, kila mara Shilole , kila mara Shilole, mbona mwenzio tangu amekushiti hakuzungumzii kwenye vyombo vya habari, ndiyo wewe tu unalia lia hovyo kwenye vyombo vya habari utafikiri mtoto wa miaka miwili, na ndiyo maana mziki wako haupandi, mwenzako Shilole yeye anapiga kazi tu na yuko juu sana kuliko wewe kazi yako ni kulia lia tu kwenye social media kila kukicha

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad