Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius Jumatano hii amelazimika kutoa miguu yake ya bandia ili kumuonesha jaji jinsi alivyo dhaifu na kwamba asingeweza kumuua mpenzi wake makusudi.
Kwenye kesi hiyo iliyokuwa ikioneshwa live kwenye TV, mwanariadha huyo alijaribu kutembea kwa tabu bila miguu hiyo.
T-shirt yake ilikuwa imeloa kwa jasho na macho kuwa mekundu kutokana na kulia.
Video:
mimi pia sizani kama aliuwa kwa maksudi, kwa ulemavu wake alizani mwizi kaingia nyumbani kwake ndiyo maana akapiga risasi, sizani kuwa alitaka kumuua girlfriend wake
ReplyDeleteAnatia huruma sana
ReplyDeleteanafanya hivyo ili kupata huruma!!!
DeleteMSIUSEMEE MOYO ANAWEZA KUWA ALIUWA KWA MAKUSUDI HAPO ANATAFUTA HURUMA TU!!!
ReplyDelete