Picha/Video: Oscar Pistorius Atoa Miguu ya Bandia Mahakamani Kuonesha Udhaifu wake

Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius Jumatano hii amelazimika kutoa miguu yake ya bandia ili kumuonesha jaji jinsi alivyo dhaifu na kwamba asingeweza kumuua mpenzi wake makusudi.


Kwenye kesi hiyo iliyokuwa ikioneshwa live kwenye TV, mwanariadha huyo alijaribu kutembea kwa tabu bila miguu hiyo.


T-shirt yake ilikuwa imeloa kwa jasho na macho kuwa mekundu kutokana na kulia.
Video:

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mimi pia sizani kama aliuwa kwa maksudi, kwa ulemavu wake alizani mwizi kaingia nyumbani kwake ndiyo maana akapiga risasi, sizani kuwa alitaka kumuua girlfriend wake

    ReplyDelete
  2. Anatia huruma sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. anafanya hivyo ili kupata huruma!!!

      Delete
  3. MSIUSEMEE MOYO ANAWEZA KUWA ALIUWA KWA MAKUSUDI HAPO ANATAFUTA HURUMA TU!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad