Polisi Wauzuia Mkutano wa Chama cha ACT Wazalendo, Millenium Tower DSM

Tunasikitika kuwataarifu Wananchi Na Umma Kwa Ujumla kuwa Polisi katika Mkoa wa Dar es Salaam wametuzuia kufanya Kongamano letu lililolenga kuchambua Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2016/2017. Polisi wamezingira eneo la ukumbi wa Kongamano (LAPF Millenium Towers) tangu saa 12.00 asubuhi.

Viongozi Wakuu wa chama wanakutana na waandishi wa Habari wa Makao Makuu ya Chama Kijitonyama kuanzia saa 7.30 Mchana kwa taarifa zaidi.

Abdallah Khamis
Afisa Habari Mkuu
Chama cha ACT-Wazalendo.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ABDALA HAMISI UPO CHAMA KIMOJA NA HUYO JAMAA... ASIKUPOTEZE MANAKE YEYE AMESHAPOTEA..KAMA HUJAMSHTUKIA.

    ReplyDelete
  2. jAMANI MBONA MNANICHANGANYA HIKI CHAMA JINA LAKE NI LIPI??

    ReplyDelete
  3. huyu raisi hataki watu wakosoe serikali na yeye anadai yupo kwa wanyonge

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli huna lako.. wakuikosoa selikali ipi? manake selikali nyingi !! sasa ipi?? na kwa lipi? uchwara haupendezi wala haukubaliki..Mdau upo?

      Delete
  4. masikini !! kweli kuna watu hawana amani kabisa ndani ya nchi inayojitangazia kisiwa cha amani. watu wachache wananyima wenzao amani!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. ungenyimwa amani ungeandika ujinga wako humu kwenye mtandao?

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad