Rais wa Tanzania John Magufuli ametangaza kuwa katika utawala wake hatateua mbunge kuwa mkuu wa Mkoa au Wilaya. Amesema lengo ni kuboresha utendaji kazi na uwajibikaji, kwamba "Haiwezekani katika watanzania mil. 50 tukose watu hadi turundie watu vyeo.
Tunataka tuchape kazi kwa ufanisi na ufanisi hauwezi kuja kwa kumrundikia mtu vyeo".
Dah aiseeee kwa kweli wataisoma namba mwaka huuu. Sijui kama na huo watauita ni u dictator ama?????????
ReplyDeleteUmenena Baba..Hiyo ni kweli ajili we need kila mmoja awe Mbunifu na ana mwelekeo ambao anafocus na kuchukua hatu stahili ili atusaidie kufikia lengo... Pamoja sana Mkuu. Ajira tutazizi disha katika kila nyanja na hii ni mojawapo katika mwelekeo.
ReplyDeleteNi Tanzania ndio tunaongoza kwa mtu mmoja kuwa vyeo 2,3.
ReplyDeleteKingine kimenifurahisha waliochaguliwa wengi ni vijana.
HONGERA SANA RAIS WETU HAKUNA MTU KULIMBIKIZA VYEO VITATU PEKE YAKE . HUYO HUYO MBUNGE MKUU WA WILAYA MWENYEKITI WA BODI SIJUI MJUMBE WA NINI VILE HAPANA CHEO KIMOJA MTU MMOJA.
ReplyDelete