Tangu raisi ameingia madarakani,ameshakutana na kada za watu tofauti na ameongea nao isipokuwa kwa upande wa wanasiasa bado,najua si lazima lakini kibusara kidogo angewaita akasikia maoni yao,nafikiri wanafikira nzuri tu ya kuisogeza nchi mbele ila wanapata hasira unapowapuuza,labda tatizo vyombo vya habari vimekuwa ni wapinzani kuliko wapinzani wenyewe,mpaka sasa mazuri mengi umefanya ila kubwa ni hilo,kama ulivyokwisha sema wewe ni raisi wa vyama vyote basi waite hawa mabwana sidhani kama watakataa wito
Ndugu yangu umesahau au hukuwahi kusikia msemo wa UKITAKA KUMUUA NYANI USIMWANGALIE USONI unaweza muona kafanana na mtu umjuae
ReplyDeleteNjia kuu ya kuwaangamiza upinzani ni kuwapuuza,,,kupuuzwa kunauma kuliko kipigo na ndio maana unaona mara wanaishitaki serikali na hata wengine kujiita maraisi bila ofisi huko kote ni kuchanganikiwa na wanapopuuzwa ndio ndio wanachanyikiwa mno
Wape pole ukikutana nao waambie wanaikaribia sehemu inaitwa DESTINATION!!!
Ushamba huu
DeleteTanzania nchi yenye Amani duniani tuna lugha moja
Na lazima tukubali wapinzani ni watanzania na chachu ya maendeleo kokote duniani
Tatizo letu Africa chama kinataka kitawale milele
Hass tatizo ni mfumo
kwani ndo maafa ya Africa
Rais anapita tu
10 years kaondoka
Na ndo maana bila katiba mpya yote kiini macho
anony wa 6.25pm huna lolote toa matongotongo machoni acha ushabiki wa kijinga
Deletenimeipenda mkuu
ReplyDeletenimeipenimeipenda iyo
ReplyDeletenimeipenda mkuu
ReplyDeleteSi ulimsikia mmoja katika wale alisema MADARAKA / UONGOZI ni kubadilishana.. Imekuwa nguo au....Mimi najua wanachotaka je wewe mwenzangu unajua pia?? ukitaka kumaliza fungua free TV anayejisikia kuwa laivu anakuja kubwabwaja halafu analipa anaondoka.. Hapo itakuwa sura yake imeonekana bila kujali utumbo wake.. Je uko tayari kuanzisha mradi wa laivu not laivu ... Poso poso imetoweka... Hakuna cha zaidi au unajua kingine kwa wakosa Uzalendo!!!! Hapa Kazi tu...
ReplyDeleteHata ukipata katiba mpya is nothing, wenzetu Kenya si wanayo katiba mpya? nini kinchoendelea? je kwa katiba yao mpya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi yameisha au, je wananchi wana maisha magumu au mepesi? issue hapa siyo katiba mpya issue ni nani anaongoza nchi, r Maghufuli ananongoza hadi sasa kwa katiba ya zamani mnayoibeza issue ni kuwa ufuatiliaji wa kanuni na sheria ulikuwa mdogo na ndiyo maana changamoto zilikuwa nyingi but katiba ipo vizuri tu.Hata Kenya rais wake ni kutoka upinzani nini kinachoendelea huko? acheni masuala ya katiba mpya wakati ya zamani amjaitumia na wala hamuijui halafu mnata mpya. Hata kama hakuna katiba rasmi lakini mkapata kiongozi muadirifu na mzalendo mtafika mbali kama walivyo waingereza wanaendeshwa na unwritten Constitution. Acheni mawazo mgando na fukuzeni viongozi wenu wala rushwa, maifadi na umimi.ALUTA CONTINUA.
ReplyDeleteJPM hana muda mchafu wa kukaa na hao mambulula, kwa sasa anaangalia wananchi wake na maisha wanayoishi
ReplyDeletekunywa maji mengi kuondoa mikunjomikunjo usoni. plz punguza stress na jazba, huu mchezo hautaki hasira! relax jibaba!
ReplyDelete