Shishi Baby Amlia Mingo Raymond wa WCB..Wanaswa Kona Wakipeana Denda...

Meneja wa WCB alisema ''Wasanii wa WCB wanapenda wanawake waliowazid umri kwasababu...)

Yule Ngapepe Sukari ya vijana aka Mario ajulikane kama Shishi Baby juzi kwenye party ya kumkaribisha Rich Mavoko kwenye Lebo kubwa ya Muziki Tanzania WCB alionekana kagandana na kijana mdogo Rayvan mzee wa hapa kwetu huku wakipeana milenda milenda ndimi nje bila kujali watu waliopo.

Sasa sijui ilikuwa ni furaha, pombe, mapenzi au ndio mambo ya kiki!!

Kila laheri kijana.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. uzushi wako tu hakuna ukweli..!pole kwa kuendekeza umbeya! huyo unayemwita kijana ndio kamkaba roba huyo mdada sasa hiyo mingo ndio iko wapi????

    ReplyDelete
  2. Sasa kama hiyo mipapa upanga ina ashki na kuliwa uroda na vijana waliowazidi umri unafikiria iweje?Acha wapelekwe pwani hao mapapa upanga na nyege zao mshindo kudadeki wanataka damu changa miilini mwao ili wasionekane wameishazeeka

    ReplyDelete
  3. anamrithi Domo na Rajabu. waache waogelee kwenye bwawa moja.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad