Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameitaka Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuchunguza tuhuma dhidi ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu anayedaiwa kuwaonyeshea kidole cha kati wabunge wa CCM.
Sugu anadaiwa kufanya kitendo hicho June 6, mwaka huu alipokuwa akitoka katika ukumbi wa Bunge baada ya kuwasilisha maoni ya kambi ya upinzani kuhusu azimio la bunge kuridhia mkataba wa kimataifa wa udhibiti wa matumizi ya dawa na mbinu za kuongeza nguvu michezoni.
Naibu Spika ameitaka kamati hiyo kumchukulia hatua kali kama watamkuta na hatia ya kufanya kitendo hicho
Safi sana naib spika wapeni hao vilaza adabu. Kumb wabung waupinzan wot hawan adabu, we mbung huna heshim sasa watot washul watakua naheshim? honger kwa kukataa urushwaj live wa bunge kwan unge fundish watot ukosef wa adabu.
ReplyDeletemshamba wewe kilaza nini wewe!!
Deleteanony wa 8.45 yaani wewe ni pumba na kilaza saana tulia watu wanaojua kufanya kazi wafanye
DeleteUmenikosha mama.. Heshima na adabu Ni hulka na malezi bora . Ukimwona mtu Hana hayo .basi Ni hatari kwa kaya/jamii Na nchi kwa ujumla...Mama Tulia uamuzi Ni makini Na Ni dawa kabisa.. Nidhamu Ni mtu do WA maisha ambayo I aleta maendeleo Na intrapersonal relationship ambao watu wanakuwa Na utekwlezaji nzuri kufikia malengo... Ukoaefu wake Ni kwamba unakurudisha barabara hujui pa kwenda kushoto au kulia ( being in dilemma) sasa wewe sugu upo wapi usipijiheshimu wewe mwenyewe?????? Inasikitisha!!! tena Sana.
ReplyDeleteHuyu kinda wa kuitwa mama
DeleteFyuiuuui kwa lipi allofanya
Tanzania
Fyuuuu
Kama si kubebwa
Bado mnataka Laivu not laivu . Tuone how undisplined you are!! It's shameful..
ReplyDeleteUyo atumbuliwe bonge la jipu kilaza mkubwa wewe nyoooo
ReplyDeletekumbe kidole cha kati ni tusi?? mmejuaje kama ni tusi au na nyinyi mnakitumia kidole cha kati?? acheni uhuni jamani wewe tulia kumbe hujatulia?
ReplyDeletepumbavu zako kilaza wewe
Delete