SUMAYE: Magufuli Anapandikiza Chuki na Hasira Katika Jamii

Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumayeleo, katika ukumbi wa hoteli ya African Dream mjini Dodoma, amesema ameshangazwa na kitendo cha utawala wa rais Magufuli kutumia nguvu nyingingi kukandamiza uhuru wa maoni kwa kuwa yeye ni mtu aliyechaguliwa kwa njia ya demokrasia ambapo maoni tofauti yanakuwepo na yanaruhusiwa kusemwa
Amesema vitendo hivyo badala ya kuleta amani na utulivu katika jamii ndio vinazidi kuleta hasira na chuki.

Ameongezea kusema kama rais hataki kusemwa basi atangaze rasmi kuwa yeye ni dikteta na atakaye mkosoa atakatwa kichwa au kutupwa gerezani

Video:
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hizo chuki na hasira mnazo ninyi mliozoea kulitafuna Taifa hili na kujilimbikizia. Lakini si kwa mwananchi wa kawaida. Mnaona mmebanwa hamna pa kutokea basi yanawatoka vinywani mwenu, tena kama huyu baba alishakuwa ni kiongozi wa juu. Lakini nae alikuwa ndio wale wale wa kujali mifuko yao. Baba wakati wako umeisha. Huna nyimbo hapa kazi tu. Mtuachie raisi wetu mpendwa afanye kazi. Hiyo midomo sasa itawapwaya bure kwa kuropoka ropoka kwa kutaka kumrudisha raisi nyuma, na harudi nyuma ngoooo!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usioneshe nidhamu ya woga, kuwa mzalendo acha ushabiki wa chama. Yanayoendelea sasa hivi ni hatari kwa amani ya nchi. Watu wamekua waelewa na kila siku zinavyo songa ndio wanakua waelewa zaidi. Uongozi unahitaji busara nyingi zaidi ya nguvu. Lakini sasa hivi nguvu, hila na ubabe ndio vinatumika zaidi ya busara. Watawala ndio wavunjifu wa amani, kwasababu inafika mahala waliotawaliwa wanachoka na kuamua kudai haki yao kwa njia yoyote ile.

      Delete
    2. Mjinga wewe

      Delete
  2. Hivyo wewe Fediliki na Mshaga au Mpale manake lugha inagongana... Nimeambulia ufafanuzi wako.. Je ulialikwa na chuo au chuoni ?

    ReplyDelete
  3. Wewe mpaka utake kumsema Mkuu wetu ni kwa Misingi ipi? Kama ni chuki na uchochezi hivui mnavyo bila hata kutaka kuvificha...Hili neno la Udikteta Bana Ziro nakuomba Ulifupishe na kilicho kupeleka hapo kilikuwa ni nini Mwaliko au Uchochocho na kwa \sifa zipi? manake kama ni sasa we si mmojawapo! au Ummo na wewe?


















    i[

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamani anadai cheo chake toka kwa Magu. Magu tafazali mfikirie wazifa au hata posho!! Hali ngumu.. Fedi ngoja labda utafikiliwa.. ngoja namba yako ifike ili ujieleze.. Magu ni mtu poa..Atakupiga tafu.

      Delete
    2. HAJIELEWWI HUYU SUMAYE..KWANZA AMESHAPITWA NA WAKATI.. MBOWE ANAMBURUZA NA YEYE ANATAKA AJULIKANE KUWA YUKO HAI.. SI ALIKUWA MAHUTUTI.. OK TUMESHAJUA UKO HAI.. JIPUMZISHE BASI!!!!!!!!! SPIDI HII HUIWEZI..YA JPJM..WEWE NJEEEEEEEEE

      Delete
  4. Fediliki... Wewe Bado unaipenda siasa .. Manaake itakubwaga!!!! Nakuomba angalia afya yako... Dodoma ulifata Nini.. au wewe ni mbunge .. Je unakinga????? Matamko ya kisiasa na misukosuko yake unaiweza??? Wewe Pumzika na wacha filimbi filimbi usizo kuwa na uelewa.... Nasiha yangu kwako wewe baba Zero .. KAA PEMBENI ANGALIA LISHE YAKO NA AFYA YAKO...Hapa kazi Tu..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad