Taarifa ya ACT- Wazalendo Kuhusu Kupotea Kwa Zitto Kabwe Tangu Jana Jioni

TAARIFA KWA UMMA

Tunaujulisha UMMA kwamba Kiongozi wa Chama chetu cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe amekuwa anatafutwa na Polisi tangu jana usiku.


Mpaka sasa hatujui Kiongozi wetu yupo wapi na yupo kwenye Hali gani. Askari kanzu wanalinda nyumbani kwake na kwa watu wake wa karibu. 


Sisi kama chama tunaliambia jeshi la Polisi kuwa lolote litakalotokea kwa Kiongozi wetu wao watajibu kwa umma.

 

Msafiri Mtemelwa, 
Kaimu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo


Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Asije kuwa alikatixa barabara !! Manake hajielewi kachanganyikiwa mmefika muhimbili au Yuko kigoma?

    ReplyDelete
  2. Msafiri!! Mara ya mwisho ulipomuona hali yake kiafya alikiwaje?? Manake anaonesha Kama alikuwa amechanganyikiwa. Na tulimshauri afanye matembezi huko Mirembe ..mmejaribu kutembelea??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Koma upate laana ya duniani hadi akhera
      Na Kama katekwa nani wasenge
      Msojuwa maana ya usalama wa taifa mtatujuwa kigoma

      Delete
    2. pumbavu huna akiri na wewe ndo msenge, kwani nani asiyejua kwamba jamaa kachanganyikiwa??????

      Delete
  3. HI makubwa haya

    ReplyDelete
    Replies
    1. isije kuwa Washikaji kijiweni aliondoka kwa kutumia usafiri wa Boda Boda!

      Delete
  4. Amejiharibia mwenyew anachezw mchez mchaf na Chadema na Cuf ila yeye hajui kam wao wanatak kummumalik kisiasa na tayar ameanz kuyonga pole pole. Hajui kam wenzak wa vyam vyaupinzan wana hasir nay na kuon akiwapelek Kigoma sasa anachek nao anafikir wanamfurahiy Zitto ona mbali upinzan umekumsliz utakuj jitambua wakst kila kit kilish haribik. Ushaur wang huo. Zitto yuko hospitalin ao Kigoma. Jamaa amechanganyikia na anajutia kwa nini kafany uchaf na vyam vingin vyaupinzan wakat halikua lengo lake.

    ReplyDelete
  5. Magu si wamekuchagua bomoa mpaka ikulu wajue kwamba ni chizi,ni mwendo wa UDIKTETA TU,ukilimaliza bomoa nyumba zote dar na mikoani.

    ReplyDelete
  6. Tanzania inakwenda wapi.nahawa making a walioandika utumbo hapo ni sababu ya kukosa. elimu.sikujua wengi wengi wetu ni mambumbumbu hivi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani kwa uandishi huu hata wewe huna elimu.

      Delete
  7. anaogopa huyo acha kutoa taarifa za kijinga mwandishi ulie andika hizo habari

    ReplyDelete
  8. yeye si anajua kuumbua watu na maneno mengi hana lolote wala hashtui watu yupo tu itakuwa kaogooa kwa kuropoka ovyo tulimkanya sana juu ya uropokaji sasa ayaone mwenyewe kukosa elimu ni shida

    ReplyDelete
  9. Mazingaombwe hayo, ila Mungu atapigana no wanafiki wote ambao wanapinga jitihada za Rais wetu kuwaletea wananchi wa hali ya chini maendeleo. Watashindwa Hakika.

    ReplyDelete
  10. Kiboko !!! wameandika Taalifa Kwa Umma... Si vichekesho au wamedata wote hawa... Zitto anataka kupoteza wengi wamfate... Jamani yeye hana Familia lakini nyie wengine pia??? kama yeye au!!!!! Angalieni yeye anakwenda kubaya .. Nyie pia mko tayari kua nae.??

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad