Tamko la ACT-Wazalendo Baada ya Mkutano wao Kuzuiwa na Polisi

Baada ya Jeshi la polisi kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa Chama Cha ACT- Wazalendo kilipanga kufanya kongamao Jumapili ya June 12 2016 kwa lengo la kujadili Bajeti ya Serikali ya mwaka 2016/2017.

Taarifa iliyotolewa na chama cha ACT-Wazalendo kupitia kwa Mwenyekiti wa chama hicho Anne Mghwira imesema kwamba kongamano hilo lililenga kumpa fursa ya pekee kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe kusema yale ambayo angeyasema bungeni baada yeye na wabunge wenzake sita wa upinzani kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bajeti bungeni.

Taarifa hiyo imeongeza kuwa katika hali isiyo ya kawaida walipewa taarifa na mwenye ukumbi (LAPF Millenium Tower) kwamba polisi walikuwa wametanda katika eneo la ukumbi tangu saa kumi mbili asubuhi na ilipofika saa nne kamili asubuhi mwenye ukumbi aliwataarifu rasmi kuwa amepewa taarifa na kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kinondoni kwamba chama chao hakina kibali cha kufanya kongamano hilo na hivyo asiwafungulie ukumbi huo.

Hivyo kupitia taarifa hiyo chama ACT-Wazalendo kimesema kimesikitishwa sana na hatua hiyo ya polisi na wanaitafsri kuwa ni mwendelezo wa hatua za uhakika katika kufifisha demokrasia katika nchi.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dicteta tumemchagua wenyewe five years not far from now

    ReplyDelete
  2. wewe Zitto, Mbona unakuwa Vioja na Kichekesho mjini au ndiyo netwoki inachemsha. Unataka kujadili bajeti nchi ya mahali palipo wekewa Hususan kwa jambo hilo (Bungeni) ambapo ulikuwepo hapo mwanzo mpaka ulivyo onna huwezi na ukadhihirisha kushindwa kwako kwa kuonesha kila sifa mbove na vigezo ambavyo MP hatakiwi kuwa navyo. Ukaondolewa ili uweze kufanya mambo yako ya maana kama kutafuta Jiko katika mwezi huu mtukufu. Sasa unaaza ubunifu wa Kujadili Bajeti jinsi akili zako zinavyokutuma na bila kujijua jinsi ulivyo na jinsi vilivyo. Je huoni kama unajiumbua na kujiweka katika hali ya watu kukutilia mashaka Afya yako! Mimi na sisi tunasema tunakupenda Dogo na we care for you.. Hebu kaa nyumbani ujipumzishe na usiendelee kujiumbua na kuleta vioja visivyo ingia akilini wa masikioni (kiasi hata tuweze kufikiria) Je unajua vijiweni wanakuzungumziaje... Umedata au unaanza kudata... Hapa uelewe ni Awamu ya Tano na inataka wajibikaji na waaminifu na Wazalendo na Waaminifu .. Je wewe unasifa gani katika hizi.... HAPA KAZI TU MWAYA WASAMARIA WEMA TUPO TUELEZE TUKUSAIDIAJE???? uPUUZI NA UPUMBAVU WAKO KAA NAO MWENYEWE!!!!!!!!!!!!!! zITO SIASA ZIMESHAKUPIGA CHENGA MWAYA.

    ReplyDelete
  3. hIVYO HUYU DOGO YUKO WAPI HV SASA? UJIJI AU JIJINI KWA MAKONDA?? TENA USIMCHAFUE MAKONDA ATAKUSHUGHULIKIA... KIAMA... NI MCHAPA KAZI NA HAPENDI UPUUZI... HAPA NI KAZI TU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Makonda amshughulikie zitto
      Hallo
      Chakula cha bwana
      Maharage yako jikoni

      Delete
  4. wewe Zitto, Mbona unakuwa Vioja na Kichekesho mjini au ndiyo netwoki inachemsha. Unataka kujadili bajeti nchi ya mahali palipo wekewa Hususan kwa jambo hilo (Bungeni) ambapo ulikuwepo hapo mwanzo mpaka ulivyo onna huwezi na ukadhihirisha kushindwa kwako kwa kuonesha kila sifa mbove na vigezo ambavyo MP hatakiwi kuwa navyo. Ukaondolewa ili uweze kufanya mambo yako ya maana kama kutafuta Jiko katika mwezi huu mtukufu. Sasa unaaza ubunifu wa Kujadili Bajeti jinsi akili zako zinavyokutuma na bila kujijua jinsi ulivyo na jinsi vilivyo. Je huoni kama unajiumbua na kujiweka katika hali ya watu kukutilia mashaka Afya yako! Mimi na sisi tunasema tunakupenda Dogo na we care for you.. Hebu kaa nyumbani ujipumzishe na usiendelee kujiumbua na kuleta vioja visivyo ingia akilini wa masikioni (kiasi hata tuweze kufikiria) Je unajua vijiweni wanakuzungumziaje... Umedata au unaanza kudata... Hapa uelewe ni Awamu ya Tano na inataka wajibikaji na waaminifu na Wazalendo na Waaminifu .. Je wewe unasifa gani katika hizi.... HAPA KAZI TU MWAYA WASAMARIA WEMA TUPO TUELEZE TUKUSAIDIAJE???? uPUUZI NA UPUMBAVU WAKO KAA NAO MWENYEWE!!!!!!!!!!!!!! zITO SIASA ZIMESHAKUPIGA CHENGA MWAYA.

    ReplyDelete
  5. kweli nimeamini sasa huyu raisi hatufai asietaka kuskiliza wenzie

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu Laisi wetu mtalajiwa wa Dola? inashangaza lakini ni Dola ipi manake ziko nyingi zote ni Dola ila thamani zinatofautiana! Australian Dola/ Hongkong Dola na zingine nyingi sasa ata sijui ipi zinachanganya!!

      Delete
  6. Mtakoma kuringa ni udikteta kwa kwenda mbele,subiri mpangiwe muda wa kulala sasa,nyie si mnashabikia ujinga.

    ReplyDelete
  7. jamani act wazalendo na ccm mlikuwa marafiki sana wakati wa kampeni mbona sasa huo urafiki umegeuka na kuwa uadui mkubwa??? mpaka mnataka kumuua zitto?? plz ccm mwacheni kijana ndio kwanza anataka aoe,!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad