Ulinzi mkali kwa Naibu Spika waimarishwa

Naibu Spika wa bunge, Dk Tulia Ackson ameongezewa ulinzi hasa kipindi hiki ambacho wabunge wanajadili Bajeti ya Serikali ya mwaka 2016/17. Tangu Serikali ilipowasilisha bajeti, idadi ya walinzi kwa ajili ya Dk. Tulia iliongezeka hadi watano idadi ambayo ni kubwa kuliko awali.

Jambo hilo limesababisha hata wabunge wa CCM na wa upinzani kushangaa huku wengine wakihoji sababu. Wapo baadhi ya wabunge waliodhani huenda ulinzi wa Dk. Tulia umeongezwa baada ya kutoa mwongozo mwishoni mwa wiki wa wabunge wa upinzani kutolipwa posho za vikao vyote walivyotoka nje.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lazima apewe cheo kkubwa hakiendani na jinsi alivyoingia bungeni
    Na upendeleo wake kupendelea au kushabikia upande mmoja
    Angekuwa mbunge wa jimbo au viti maalumu watu wasinge guna
    Anaendesha bunge Kama mahakama

    ReplyDelete
  2. Dk.Tulia Yuko vizuri mama.hongera Sana mama

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kinda kuitwa mama kwa cheo au umri
      Fyuuuuuui
      Kwa hicho kitoto alicho zaa USA kwa migiro fyuuu

      Delete
  3. Wengi wanaochangia comments hawana uwezo wa ku analyse mambo yaani alimradi naye aandike hajyi hata viashiria vya hali hatarishi ya kesho na kesho KUTWA

    ReplyDelete
  4. Wampe na mtu wa kubebea pochi
    Kabisa
    Katutoka huyu

    ReplyDelete
  5. Dkt Tulia uko poa Mwanangu ... Nidhamu ina dhihiri... na ndivyo inavyo takiwa.Watakuona NOMA.. Tunaendelea mbele... Hongera Mama!!! Pamoja sana.. Unacheza na Posho... Posho...waliifungia safari Dodoma!! Fyuuuuuu

    ReplyDelete
  6. Kazi umeifanya kwa Ustadi Mkubwa. Hongera saana. Keep it up, mungu awe upande wako. Wapinzani wamezoea kufanya kazi kwa mazoea, sasa Serikali imekaza kamba wanapiga kelele na kulalamika ovyo. Mwaka huu wataisoma namaba.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad