Video : Kwa Mtoko Mmoja Wema Sepetu Anavaa Vitu Vyenye Gharama ya Zaidi ya Milioni Mbili

Moja ya kitu kinachomtofautisha mtu maarufu na wakawaida mara nyingi ni kujulikana kwake na mavazi anayovaa. Kwa mfano mzuri tu ni hapa Bongo watu wengi maarufu wamekua wakionekana nadhifu sana kwa kuvaa nguo za gharama.

Kwa mwananchi wa kawaida kununua nguo ya Laki moja ni jambo gumu sana ila kwa star kama Wema Sepetu ni jambo la kawaida sana. Akihojiwa katika EFM Radio Wema Sepetu alifunguka kua kwa kila siku anayotoka vitu anavyovaa gharama yake ni kama milioni 2 za kitanzania.

Hebu msikie kwenye video hii hapa chini..

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. na nyie waandishi tumechoka na habari za kijinga mkiwa hamna stori laleni

    ReplyDelete
  2. Yaani anunue vitu vya bei mbaya halafu ashindwe kuwalipa TRA DAWASCO mfyuuuu

    ReplyDelete
  3. Yaani namshangaa Wema kujinadi amevaa vitu vya bei mbaya halafu anaishi nyumba ya kupanga ebu nunua nyumba ujana unakwenda. halafu miye sioni kama laki tano mpaka saba ndo aone pesa nyingi. Gari kanyanganywa hana pesa yakulipia anawategemea wanaume wamulipiye kakosa gari limekwenda.

    ReplyDelete
  4. Katimuliwa kwenye nyumba kisa wizi wa umeme. Milioni mbiliii mfyuuuu. Na drama zake zisizokwisha. Kaamua kuweka tako feki ili avutie biashara ya tigo. Viguu kaa ataanguka.

    ReplyDelete
  5. Huyu Wema kweli kama ana pesa za maana ni kwa nini asiwasaidie wale wakazi wa eneo lake analoishi kwa kuwawezesha kibiashara na hasa akina mama ambao kimsingi mitaji yao ni midogo sana kiasi cha kwamba hawawezi kujikimu katika maisha yao ya kila siku. Awasaidie kuwawezesha ili na wao wajione ni binadamu katika binadamu. Na pia kama ana hela za kupoteza kiasi hicho katika mavazi tu. Basi na awasaidie wale watoto ambao wamezaliwa misfortune/ambao hawakuwa na bahati ama uwezo wowote kutoka katika familia zao awapeleke mashuleni na kuwalipia ada na kuhakikisha wanafanikiwa kabisa katika masomo na kufaulu hayo masomo ili waweze kujitoa kimaisha na kufikia plae ambapo huyo Wema Sepenga alipo.
    Kuturingishia kuwa ana uwezo wa kuvaaa nguo za gharama kubwa inatuhusu nini sisi watu wa kawaida na hali ya chini? Ni ushauri tu hivyo vijipesa vyako vipeleke kwenye mambo ya maana ya kuwasaidia wananchi wa kawaida kama kweli wewe ni celebrity wa kweli. Kwa maana naona umekazaaaaanaaaa kujifananisha na Kim Kardashian.

    ReplyDelete
  6. Huyu binti amaeshafikia ukingoni hivi wakitoka wanao vaa na kuishi atathubutu kutoa hata hiyo pua yake.Siku wakina Faraja Nyarandu au kina Jaqline Mengi wakisema yakwao wanavyoishi atabadili na manager siku hiyo hiyo na ata sign out instagram.Kwanza hata passport sijui kama anayo kutwa yupo hapa bongo hana expouser hata chembe.angalia EAC wenzako kina Huda, Vera sidika walivyo matawi si dhani hata kama unakumbuka kuiga mazuri yao.hawaendi event ali mradi tu .Pole Jipange binti kwa sasa kila mtu hali yake ni ngumu ya jana si ya leo kwa magufuli huyu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dah umenikumbusha Vera Sidika. Aiseee yule demu matawiiii duh sio mchezoooo. Halafu Vera Sidika events zake ni kali duh. Aaaaahhhh huyo Wema Sepenga ni kinuka mkojo tu kwa socialites kama Vera Sidika. Yule demu ni Class nyingine kabisaaaaaaa mbon huyo Sepenga ataisoma namba hahahhahahahaha aaaahhhhhh

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad