Video : Kwa Uzuri Huu wa Demu Mpya wa Diamond Platnumz, Zari Atasubiri Sana

Japo kua Diamond amezaa na Zari na kupata mtoto Tiffah, ila kwa sasa kuna tetesi kua Diamond Platnumz anatoka na demu mpya Aitwa Irene. Kwa taarifa zakuaminika kutoka kwa watu wa karibu wa Diamond zinaonyesha ni kweli Diamond anatoka na msichana huyo Toka Mwaka jana.

Sasa huko instagram kumekua na ubishani mkubwa kuhusu nani ni mrembo zaidi kati ya Zari na Irene. Kwa muono wa macho yangu naona Irene aka Bi mdogo ndio mrembo kuliko hata Zari. 

Hebu tazama video yake hapa kisha niambie nani mrembo zaidi kati ya ZAri na Irene....

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ujinga mtupu na uchonganishi waandishi acheni hizo kuchonganisha familia za watu kama huyo demu ni mzuri ni kwako na zari pamoja na kwamba ameshaa zaa mara 4 lakini bado anaonekana ni mzuri kuliko hicho kibishuti

    ReplyDelete
  2. HUYO DEMU MPYA(kama ni kweli)NDIO ATASUBIRI SANA KWA ZARI.ZARI MZURI SANA,ANGALIA UMRI ALIONAO LAKINI BADO BOMBA.

    ReplyDelete
  3. kitu hakina chenga hicho, no makeup nothing na ngoma inaweupa sio wadukani kama wa zari. Zari weupe aliongezewa kama ex- wange lol, by the way sina team jamani msinitukane lol

    ReplyDelete
  4. hicho kizee kinauzuri gani hasa mapaka mkamfananisha na AIRIN. hamna haya kujipendekeza kwa mtu aneweza kumzaa Domo wima.

    ReplyDelete
  5. hicho kizee kinauzuri gani hasa mapaka mkamfananisha na AIRIN. hamna haya kujipendekeza kwa mtu aneweza kumzaa Domo wima.

    ReplyDelete
  6. Irine bomba gan mama mto kitu kwel

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad