Video: Mambo Yakufahamu Baada ya Taarifa za Chid Benz kutoroka Sober House Kusambaa

March 22, 2016 meneja wa Diamond Platnumz Babu Tale alimpeleka  msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz  Sober House iliyopo Bagamoyo iitwayo Life and Hope Rehabilitation Centre kwaajili ya kupata matibabu ya kuacha kutumia madawa kulevywa na kurudi kwenye hali yake ya mwanzo.

Headline za kutoroka kwa msanii huyo kwenye nyumba hiyo ya kuhudumia waathirika wa dawa za kulevya zilianza baada ya watu kumuona msanii huyo akiwa mtaani June 5 2016 Mkuu wa Kituu hicho cha Sober House ameelezea ukweli wa msanii Chid Benz kwenye kituo hicho.

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Washapata umaarufu walioutaka, aliezoea kupanda punda hawezikupanda faras

    ReplyDelete
  2. Mtajua wenyewe atoreke akae...sahv twaangaalia mambo mengine

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad