Naon watanzania wamepat kiongoz shupav mweny akil, kwa kwel Tz ingepat wat 10 kam hawa bas inch ingekua bora baran hat ulimwengun. Ukwel utazid kuw ukwel upinzan hay jipangen kwan ya kwen yamekwish hamun pakuvurugutia. Sasa munaanz na naib spika ahahahaa kwel. Poleni wanainch mulio wachagua hao wabung waupinzan kwan hawawatendei haki. Sijui kam muliwatum kulet vurug bungen ao kumuongoa naib spika. Hawan ya kusem ndio maan wakin Lisu zil papar na majigamb mpak hiv han kwan wsmekos pa kumuanzia rais. Polen wapinzan kwan sik zenu zimekwishaaaaaa twenty twenty ni cham kimoj 2 bungen. Honger JPM kwakuwanyoisha wa TZ.
safi sana mr president uko makini na siku zote kiongozi anatakiwa awe makini tunafuraia maamuzi magumu japo wengine hawataelewa lakini watakuja kuelewa na wale wabunge vilaza mnaotetea tetea uwozo huu hivi kweli divisheni four anakwenda chuo kikuuu na mkopo anapata hali ya kuwa wapo waliopata divisheni two au one wamekosa nafasi za kujiunga na mkopo pia fikilieni nyie wabunge waupinzani wote nyie ni vilaza tu hapo nimeanza kuona kwamba wapinzani kasi ya magufuli inawapa shida walitegemea watachekewa imekula kwao mbowe rudi kwenye kazi yako siasa usziwezi
Maamuzi mpaka yanapo pita ni kwamba wameaangaliwa na kupitiwa. Katika awamu yetu hii ya Tano, ni kwamma baba JPJM he leaves no stone unturned. Shaka ondoeni/ Siasa wekeni pembeni katika adha za wananchi na kulete maendeleo ya mtanzania.. Msiyo yajua mnayauliza na siyo kukurupuka mkina na habari na upeo mfinyu juu ya jambo. JPJM na Shupavu na si mwenye haya kati masuala yanayo muhusu mwananchi na kumuondolea dhiki za kila siku.. Ni mkali na mwenye huruma panapo stahiki.. lakini ni mtu asiye taka mchezo katika uwajibikaji na utenda haki.. na hii inadhihirisha vipi anayestahiki anyimwe na asiye stahiki apate yene ana irreverse inakua mwenye haki apate haki yake...Safari hiii anabana na kiziba HEWAAAAAAA... Mungu akulinde baba JPJM na Ramadhani imewadia na Sukari tutaiona kwa wingiii
afadhali maana elimu ya tz ilikuwa kama haina thamani msomi wa chuo kikuu anakuwa hajui hata kujieleza kumbe walikuwa wanachukuliwa vilaza ndio wanapewa nafasi safi sama rais usirudi nyuma
Dah,mkuu umenitoa machozi. Ni ukweli usiopingika hata kidogo alichoongea JPJM. Wengi huwa tunashabikia mambo bila kujua undani.Asante sana Rais wetu na Mungu akusimamie akupe maono katika maamuzi yako.
Maamuzi mpaka yanapo pita ni kwamba wameaangaliwa na kupitiwa. Katika awamu yetu hii ya Tano, ni kwamma baba JPJM he leaves no stone unturned. Shaka ondoeni/ Siasa wekeni pembeni katika adha za wananchi na kulete maendeleo ya mtanzania.. Msiyo yajua mnayauliza na siyo kukurupuka mkina na habari na upeo mfinyu juu ya jambo. JPJM na Shupavu na si mwenye haya kati masuala yanayo muhusu mwananchi na kumuondolea dhiki za kila siku.. Ni mkali na mwenye huruma panapo stahiki.. lakini ni mtu asiye taka mchezo katika uwajibikaji na utenda haki.. na hii inadhihirisha vipi anayestahiki anyimwe na asiye stahiki apate yene ana irreverse inakua mwenye haki apate haki yake...Safari hiii anabana na kiziba HEWAAAAAAA... Mungu akulinde baba JPJM na Ramadhani imewadia na Sukari tutaiona kwa wingiii
Kuna dogo namjua alikua ameenda form 5 baada kupata hiyo nafasi ya kwenda chuo cha UDOM kusomea hiyo diploma ya ualimu wa sayansi akaacha F5 akaenda chuo leo hii ametimuliwa chuo,kusema ukwel anajuta kuacha F5 na kuamua kwenda chuo maana amepoteza muda wake wakati wenzake aliokuwa nao F5 wanaingia F6 matokeo yake ana CREDIT ss sujui naye ni kilaza? ila inakatisha tamaa maamuzi wafanye wengine wanao athirika ni wengine....inauma sn
ASANTE MUNGU,UPELE WA TANZANIA UMEPATA MKUNAJI HASA. NILIKUWA NAIPINGA CCM SANA,NIMEGUNDUA TATIZO SIO CCM TATIZO HAKUKUWA AU KUPATA MPIGANAJI SAHIHI BADO.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Naon watanzania wamepat kiongoz shupav mweny akil, kwa kwel Tz ingepat wat 10 kam hawa bas inch ingekua bora baran hat ulimwengun. Ukwel utazid kuw ukwel upinzan hay jipangen kwan ya kwen yamekwish hamun pakuvurugutia. Sasa munaanz na naib spika ahahahaa kwel. Poleni wanainch mulio wachagua hao wabung waupinzan kwan hawawatendei haki. Sijui kam muliwatum kulet vurug bungen ao kumuongoa naib spika. Hawan ya kusem ndio maan wakin Lisu zil papar na majigamb mpak hiv han kwan wsmekos pa kumuanzia rais. Polen wapinzan kwan sik zenu zimekwishaaaaaa twenty twenty ni cham kimoj 2 bungen. Honger JPM kwakuwanyoisha wa TZ.
ReplyDeleteSafiiiiiiii.
ReplyDeletesafi sana mr president uko makini na siku zote kiongozi anatakiwa awe makini tunafuraia maamuzi magumu japo wengine hawataelewa lakini watakuja kuelewa na wale wabunge vilaza mnaotetea tetea uwozo huu hivi kweli divisheni four anakwenda chuo kikuuu na mkopo anapata hali ya kuwa wapo waliopata divisheni two au one wamekosa nafasi za kujiunga na mkopo pia fikilieni nyie wabunge waupinzani wote nyie ni vilaza tu hapo nimeanza kuona kwamba wapinzani kasi ya magufuli inawapa shida walitegemea watachekewa imekula kwao mbowe rudi kwenye kazi yako siasa usziwezi
ReplyDeleteKAZI NZURI
ReplyDeleteMaamuzi mpaka yanapo pita ni kwamba wameaangaliwa na kupitiwa. Katika awamu yetu hii ya Tano, ni kwamma baba JPJM he leaves no stone unturned. Shaka ondoeni/ Siasa wekeni pembeni katika adha za wananchi na kulete maendeleo ya mtanzania.. Msiyo yajua mnayauliza na siyo kukurupuka mkina na habari na upeo mfinyu juu ya jambo. JPJM na Shupavu na si mwenye haya kati masuala yanayo muhusu mwananchi na kumuondolea dhiki za kila siku.. Ni mkali na mwenye huruma panapo stahiki.. lakini ni mtu asiye taka mchezo katika uwajibikaji na utenda haki.. na hii inadhihirisha vipi anayestahiki anyimwe na asiye stahiki apate yene ana irreverse inakua mwenye haki apate haki yake...Safari hiii anabana na kiziba HEWAAAAAAA... Mungu akulinde baba JPJM na Ramadhani imewadia na Sukari tutaiona kwa wingiii
DeletePAMOJA SANA MHE. RAIS KAZA BABA TUFIKE
ReplyDeleteASANTE KWA UONGOZI ULIOTUKUKA
ReplyDeleteWAPINZANI HANA NAFSI TENA
ReplyDeleteHATA WABUNGE WAPO VILAZA WAANGALIWE ELIMU ZAO
ReplyDeletewapinzani nisawa na wabunge hewa watumbuliwe tu bungeni
ReplyDeletebig up jpm
ReplyDeletenampenda ghafla rais anamsimamo sana vizuri inapendeza
ReplyDeleteafadhali maana elimu ya tz ilikuwa kama haina thamani msomi wa chuo kikuu anakuwa hajui hata kujieleza kumbe walikuwa wanachukuliwa vilaza ndio wanapewa nafasi safi sama rais usirudi nyuma
ReplyDeleteHAPA KAZI TU; MPAKA KIELEWEKE KWELI TUTAFIKA BILA SHAKA
ReplyDeleteSUBIRA YAVUTA HERI
ReplyDeleteKAMBI RASMIMI YA UPINZANI KATAFUTENI BUNGE LENU TUMEMUELEWAMR PRESIDENT
ReplyDeleteDah,mkuu umenitoa machozi.
ReplyDeleteNi ukweli usiopingika hata kidogo alichoongea JPJM.
Wengi huwa tunashabikia mambo bila kujua undani.Asante sana Rais wetu na Mungu akusimamie akupe maono katika maamuzi yako.
UKWELI NCHI ILIKUWA IMEOZA
ReplyDeleteMaamuzi mpaka yanapo pita ni kwamba wameaangaliwa na kupitiwa. Katika awamu yetu hii ya Tano, ni kwamma baba JPJM he leaves no stone unturned. Shaka ondoeni/ Siasa wekeni pembeni katika adha za wananchi na kulete maendeleo ya mtanzania.. Msiyo yajua mnayauliza na siyo kukurupuka mkina na habari na upeo mfinyu juu ya jambo. JPJM na Shupavu na si mwenye haya kati masuala yanayo muhusu mwananchi na kumuondolea dhiki za kila siku.. Ni mkali na mwenye huruma panapo stahiki.. lakini ni mtu asiye taka mchezo katika uwajibikaji na utenda haki.. na hii inadhihirisha vipi anayestahiki anyimwe na asiye stahiki apate yene ana irreverse inakua mwenye haki apate haki yake...Safari hiii anabana na kiziba HEWAAAAAAA... Mungu akulinde baba JPJM na Ramadhani imewadia na Sukari tutaiona kwa wingiii
DeleteKuna dogo namjua alikua ameenda form 5 baada kupata hiyo nafasi ya kwenda chuo cha UDOM kusomea hiyo diploma ya ualimu wa sayansi akaacha F5 akaenda chuo leo hii ametimuliwa chuo,kusema ukwel anajuta kuacha F5 na kuamua kwenda chuo maana amepoteza muda wake wakati wenzake aliokuwa nao F5 wanaingia F6 matokeo yake ana CREDIT ss sujui naye ni kilaza? ila inakatisha tamaa maamuzi wafanye wengine wanao athirika ni wengine....inauma sn
ReplyDeleteASANTE MUNGU,UPELE WA TANZANIA UMEPATA MKUNAJI HASA.
ReplyDeleteNILIKUWA NAIPINGA CCM SANA,NIMEGUNDUA TATIZO SIO CCM TATIZO HAKUKUWA AU KUPATA MPIGANAJI SAHIHI BADO.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Mkuu anza kuangalia elimu na vyeti vya wabunge,wengi ni vilaza,tuna uhakika 95%.
ReplyDeletetena nbowe dj ndio maana kelele nyingi kama spika za ndindindi
ReplyDeleteVilaza kaanzeni kulima na ufugaji au uvuvi. Hapa haki tu
ReplyDelete