Wabunge Walalamikia Adhabu ya Kijana Aliyemtukana Rais Kuwa ni Ndogo, Waziri wa Sheria Azungumza

Wabunge wamelalamikia adhabu aliyopewa kijana wa Arusha aliyemtukana rais kuwa ni ndogo kwa kuwa mhalifu alipewa alipe kiasi cha fedha na kulipa kwa mafungu kwa kuwa alitenda kosa kubwa la kumdhalilisha mtu wa juu katika nchi hii

==========

My Take
Wabunge kuhoji Mamlaka ya Mahakama ni dalili mbaya ya Udikteta. Mahakama inapotoa Hukumu halafu anaibuka Mbunge wa CCM anahoji hukumu hiyo, kisha Waziri wa Sheria anaahidi kuileta hukumu Bungeni ni dalili mbaya sana kwa Utawala wa Sheria.

Hayo yemetokea leo Bungeni Dodoma, wakati Mbunge wa CCM Livingstone Lusinde alipohoji uhalali wa hukumu halali ya Mahakama dhidi ya Kijana aliyeshtakiwa kwa kumkashifu JPM. Kama serikali haijaridhika na hukumu basi ifuate sheria kwa kukata rufaa.

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wabunge wa ccm naona nanyi mnakuza mambo , nafikiri hata rais na familia yake wamemsamehe huyu kijana
    Tunamatatizo bungeni
    Leteni hoja jinsi gani mtatatua tofauti ya UKAWA na TULIA
    Ili turudi ktk hapa kazi
    Tusiwe watu wa kuchokonowa maneno badala ya kumaliza la msingi
    Mnatujengea uadui ktk nchi
    Iwapo bungeni hata hali hampeani
    Wa kukaya take action
    Vunja bunge

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad