Waziri Mwigulu Nchemba Apokelewa Makao Makuu Ya Wizara Ya Mambo Ya Ndani.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akiweka saini mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi muda mfupi baada ya kuapishwa kwake. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, Balozi Yahya Simba.(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwigulu hili la polisi kupigia saluti wabunge siiliungi mkono wapo wabunge wengine ni vichaa
    Bora neno ndugu lilidushwe
    Saluti itumike tu jeshini na siyo kwa viongozi am nao si wanajeshi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad