Muda si mrefu sana toka Zari na Diamond Platnumz wamepata mtoto wao wa kwanza kwa jina
Kupitia mtandao wa Instagram Mama wa Diamond Platnumz amepost picha ya pamoja akiwa na Diamond Platnumzpamoja na Zari na kuandika "ETI MAMA .K...".
Zari ni Mjamzito tena!!! Mama Nasibu Athibitisha Kwa Maneno haya
7
June 04, 2016
Tags
Haitusu sisi
ReplyDeleteHuyu bi mkora Malaya wa bilicana
Naye yupo Instagram
Inahusu nini kutangaza mimba ya zari
Hadharani
Mkizaa tarahira mnalaani
Kumbe laana mnajipa wenyewe
Fuuuuuuuy
ya mwaka gani hii! au unaota.
ReplyDeleteHuyu mama Dai kanyimwa akili, busara,sura,tabia. Yaani mpumbavuuu mswahiliii. Na ndio maana aliishia kufanywa jamvi la wote.
ReplyDeletehe! udaku umekuja lini mjini?? au Domo kakutuma uandike ili wamzungumzie maana wanajitahidi kila njia wapiiiiiiiiiiiiii.
ReplyDeleteNdo maana wanapatana na wema
ReplyDeletesasa akiwa na mimba si ni yake sisi tufanye nini shuga mamy hana haya utaliwa uwachwe patupu, wewe una tafuta kiki na domo bado anatafuta kiki bira wema alivo jitoa umeona umepata lakini bibi kizee umepatwa
ReplyDeleteAnonymous 3.40 unaonekana hujakubali bi michirizi kupigwa chini na domo. Domo alitaka wa kumzalia. Bi michirizi mgumba ndio tabu ilipokuja. Lakini domo hamuhitaji bi mimba ya matambara kupata kiki. Poleeee
ReplyDelete