Zitto Kabwe Ajitokeza Adai Polisi Wanamsaka..Asema Magufuli Alienda Rwanda Kujifunza Kubana Upinzania



DAR: Zitto Kabwe ajitokeza, adai Polisi wanamsaka. Asema Rais Magufuli alienda Rwanda kujifunza jinsi ya kubana Vyama vya Upinzani.

Ataka CCM imdhibiti Rais Magufuli, asema wakishindwa wao wapinzani watamdhibiti


Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Napenda upinzani,lakini sio huu upinzani uchwara.
    Hivi polisi unaweza kuwakimbia wewe zitto?polisi wakusake halafu wakukose mpaka ujitokeze mwenyewe?kweli unatuboa mashabiki zako,nahisi kuna jambo(vitu fulanifulani) unakosa/umevipoteza.Zitto wewe sio yule.............

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mada yako haina ukweli, raisi ni mzuri kiutendaji lakini ni dikteta hataki kukoselewa.Kwani yeye mungu mbona jk alikuw

      Delete
    2. Mada yako haina ukweli, raisi ni mzuri kiutendaji lakini ni dikteta hataki kukoselewa.Kwani yeye mungu mbona jk alikuwa anakosolewa kila siku lakini hujawahi sikia haya.

      Delete
  2. hivi huyu zito anajielewa kweli? namwonea huruma huyu jamaa kwa sababu mwisho wake ni mmbaya, na hana ubavu wa kumthibiti Rais

    ReplyDelete
  3. KANYE KAMA UMESHIBA ZITO

    ReplyDelete
  4. Kwa sie wazala tuna sema. UANALABILA umefillisika ki siasa nenda bongo move. Ndio size yako

    ReplyDelete
  5. Mlizoea kumtukana JK mpole,sasa chungeni ndimi zenu kwa MAGU.

    ReplyDelete
  6. hatutaki fujo hivo wewe ninwa wapi huelewi hivo wewe kweli una weza kumthibiti raisi magufuli mbn unachekesha hebu nenda kwenu bwana wewe kweli nibmtanzania? sie watu wa amani tuachie amani yetu wewe na hicho chama chako cha upuuzi Act ndio maana unatufanyia acting zako unajidai umetekwa mbumbavu mija wewe

    ReplyDelete
  7. Uliyashindwa ya Mbowe wakati uko CHADEMA mpaka wakakutimua je ni kweli leo hii ndio utayaweza ya Magufuli. Tuaminishe hasa ni kitu gani kilichokufanya uyashindwe ya Mbowe Dj na wenzake halafu leo hii uyaweze ya Magufuli. Kweli Debe tupu haliachi kung'aka!!!.

    ReplyDelete
  8. Mhhhh Makubwa !!!! Kesho kitu likusake sisimizi wewe wakukose!! Unachekesha sasa kwanza tutawauliza hao waliokuwa wakileta hizi habari potofu ulipanga na nani na kwa madhumuni gani... ulimi kwako unaanza kuzidi uchafu.. na ikibidi tutakukamata na kukufungia Mire be apate tiba Mimi ntakitafutA na ntahakikisha na kumpeleka mirwmbe ...manake unYozungumza ni dhahiri amesha pagawa ..na unHitaji matibabu kwa nguvumchwar wewe na hamisi abdAlAh na na Msaidizi wake lazima mtupe mazingira yaliyokupeni msukumo wa kuleta taarifa za uongo tujue mazingira YAKE/ lengo lake / na faida YAKE na hatima YAKE...na ikibaini hatua za kisheria

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad