ZITTO KABWE "Rais Magufuli Atakuwa Rais Kwa Muhula Mmoja Tu"

Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema udikteta anouonyesha Rais John Magufuli ndio kitanzi cha kumfanya awe Rais wa muhula mmoja, kwa kuwa wananchi hawatakuwa tayari kumvumilia uchaguzi ujao....Maneno hayo ameyasema wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za chama hicho Kijitonyama...

Je Kwa Unavyoona Wewe Maneno Hayo Yanaukweli?

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata akaye daima
    Si mlimchaguwa
    Vasco Dagama alikuja na jina lake
    Mfukoni

    ReplyDelete
  2. Kwa mwono wake kijana aliyechanganyikiwa....tena nakumbuka alitala kusema mwezi mmja ama sivyo?

    ReplyDelete
  3. HAHAHAHAHAHAHAHAAAAAAAA,ZITO MAJI YA SHINGO JAMANI.

    ReplyDelete
  4. Huyo zitto muwahisheni milembe kabla hajaanza kuvua nguo barabarani

    ReplyDelete
  5. Zitto anachuki binafsi, kuondolewa chadema alikuwa hafai hadi sasa hafai na hana lolote huyo.

    ReplyDelete
  6. Zitto naona unazidi kuzama na maj sasa bora uachane na sasa maana sera zako hazina mpango. Tumekuchoooooookaaa. Shiiiii usiseme Tena na umuache Rais Magufuli aendelee kujenga nchi....

    ReplyDelete
  7. maskini zito naona umechanganikiwa wewe bora give up siasa au mwisho wako ni mirembe hivo wewe hukomi wewe sio mtanzania muache raisi magufuli ajenge tanzania yetu bwana rudi kwenu wapi vile .......

    ReplyDelete
  8. Huyu mbona anatapatapa shidaaa Nini? Zaidi. Tanzania au Afrika ikitaka kuendelea inaitaji viongozi kama Mueshimiwa Raisi wa sasa, hapo ndio itaendelea. Anaepinga masilahi ya kundi au watu wachache wanaoishi vizuri huku khali wengi wanatabika kwa kutopea kwa umasikini uliokithiri, kukosa huduma muhimu,kama dawa hamna mahosiptalini, elimu ya kayumba iliyopitiliza. mlo mara moja kwa siku, Huyu anataka kuja kama moto wa kifuu na povu linamtoka nini Lakini au ametumwa. Yatamshinda. Tunaitaji kiongozi bora kwa mustakabali wa Taifa, kila siku wafrica kudhalaulika tu kutokana na viongozi wasiojielewa sasa basi hapa kazi tu. Hawezi aende mbele akajambe

    ReplyDelete
  9. Zitto Mwanangu hebu nikwambie Kimbinyiko Na Shabinu kila siku zinaenda Dodoma hata machame pia inakwenda Na ukikosa Champion pia ipi..na ukifika Mirembe siyo Mbali Na wasamaria wema tupo wengi Tu..Tutakufikisha Na kukukabidhi kwa wahuaika.. Tena huu uamuzi Ni lazima uchukue haraka Sana..usije ukaanza vitulo barabarani makonda amesha safisha jiji lake..si unanielewa?? HAPA KAZI TU..AWAMU HII YANGAPI VILI ZITO?? MANAKE NETIWOKI INAGONGA MNARA...

    ReplyDelete
  10. Aliyeturoga kafa october 25, 2015 majorit tumebaki kuwa ka mbogo tusiojua tuendako

    ReplyDelete
  11. Huyu nae sijui ameshahogwa. Kesha pewa rushwa tuhela twa mboga mmmh manaake bara hili ni shidaa liko gizani sijui lini litaamka. Mtu mmja akijitokeza kulikomboa kutoka usingizini watajitokeza 100 au 1000 kumwangusha alimradi tu asiwamshe wengi walio lala fofofo, hawajui hata hii ni karne ya ngapi wao bado wanataka kuwaweka wenzao karne ya zama hizo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad