Ajali Mbaya ya Basi SINGIDA Yaua Watu 24


SINGIDA: Watu 24 wamefariki na wengine kujeruhiwa katika ajali ya mabasi ya City Boy kutoka Kahama kwenda Dar na kutoka Dar kwenda Mwanza

Inadaiwa kuwa idadi ya vifo huenda ikaendelea kuongezeka.ee Mungu uturehem na pepo wa ajali ,wa laze mahala pema peponi waliofariki na kuwapa ahueni majeruhi wote. ..Kwa pamoja tuseme AMENI
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad