Angalia Picha Hii Hapa Chini Kwa Makini ..Alafu Niambie Kama Mapenzi ni Uzuri wa Sura Ama Pesa

Baada‬ ya Kuangalia Vizuri ‪#‎Picha‬ za Warembo hao na Waume Zao Utakubaliana nami Kuwa ‪#‎Mapenzi‬ ya ‪#‎Dhati‬ hayapo kama Mfuko wako Umetoboka......

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pesa sabuni ya roho
    Ulaya pia
    No romance without finance

    ReplyDelete
  2. Hahahhaahhahahahhaaha aiseee..watu wanavumilia mengi ndoani kumbee unajifanya sitak vjna weee kumbe ukimtizama babu yako pembeni unataman hata afe ubaki na urith......mm mapenz kwangu sio pesa moyo tu uridhike na tabia na mienendo ya muhusika basii pesa zinatafutwa tu...

    ReplyDelete
  3. manake mpunga ndio kila kitu

    ReplyDelete
  4. Hahaaaa hapo ni pesa tuu Nani atakubali kuolewa na vizee hivyoo!!!hata sura za mvuto hawanaa???? Hapo ni pesa tuu ndo inaongeaa...ni sawa na watoto wao wa kuwazaa kabisaa,mhhh baba zetu hawaa!!??ni majangaa!!!

    ReplyDelete
  5. you said well wanawke wa ulaya wanajali sana mapenzi, wore mnafanya kazi na bills unasaidia na maisha yanaendelea.

    ReplyDelete
  6. MMM WIVU WENU TU MBONA WANAUME WOTE MA HANDSOME!!!

    ReplyDelete
  7. there is no ugly man age is just but a number, those guys are so young at heart.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad