Askari Aliyemuua Mwandishi wa Habari Daudi Mwangosi Ahukumiwa Kifungo

‪#‎HABARI‬ Askari aliyemuua mwandishi wa habari Daudi Mwangosi bila kukusudia leo amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela.
Toa maoni yako hapa

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tanzania hiyo

    Aliyeuwawa si ccm
    Yule Kamanda wa polisi aliyetoa maagizo
    Ya kuuwa kapandishwa cheo
    Watoto wa mwangosi hawatasahau
    Hili
    Mungu awalani wote waliohusika kwa hili

    ReplyDelete
  2. Adhabu haitoshi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad