Aunt Ezekiel Akimbilia Gym Kunusuru Penzi

Staa wa filamu, Aunt Ezekiel aliye katika mapenzi na Dansa Moses Iyobo, ameamua kukimbilia gym kwa ajili ya kupunguza unene unaomuandama ili kulinusuru penzi lake.

Akizungumza na Za Motomoto News, Aunt amesema ameanza mazoezi ya nguvu kila asubuhi ili aweze kupunguza mwili aendane na mpenzi wake kwani mwili wake ni mkubwa kuliko wa mwenzie.
“Daah, nimeona nitapoteza penzi langu bure, nimekuwa mnene kumpita baby kitu ambacho siyo sawa, nilikuwa na kilo 87, hivi sasa nimepunguza kilo sita,” alisema.

Chanzo:GPL

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. TENA NA UFANYE BIDII ULE WAKATI WA MREMBO KIKOJOZI HAUTARUDI TENA

    ReplyDelete
  2. Dah leo nimeangalia movie yako Aunt inaitwa Test of Love yaani ulikuwa una mwili bomba kweli

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad