Azam Media Limited inapenda kuufahamisha Umma kuwa;
- Taari fa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa AZAM TV inakwcpa kulipa kodi ya Ongezcko la thamani (VAT) si kwcli na zinakusudia kuupotosha umma kwa ujumla.
- Tozo ya hudurna za Azam tv inalipiwa kodi ya Ongezeko Ia Thamani (VAT) kwani mmiliki wake arnbayc ni Azam Paytv Ltd ya Mauritius amcsajiliwa hapa nchini kwa madhumuni ya ulipaji wa kodi ya Onge-teko Ia Thaman i (VAT) kwa usajili nambari VRN 40-023191-C
- ldadi ya watcja Milioni 3 waliofungiwa ving'amuzi vya Azam TV iliyoripotiwa katika mitandao ya kijamii si ya kweli.
- Azam TV inatoa rai kwa wctcja wake na wananchi kwa ujumla kupuuza taarifa za uzushi na uongo zenyc lengo Ia kuchafua jina Ia Azam TV na kurudisha nyuma juhudi za Kampuni kutoa huduma bora ya Runinga kwa watcja wake
Pia Umma unatahadharishwa kuwa makini na taarifa mbalimbali zinazosambazwa katika rnitandao ya kijamii mara kwa mara kuhusu AZAM kwani taarifa hizo zina malcngo ya kuchafua jina Ia AZAM arnbalo linakubalika hapa nchini na nchi zotc barani Afrika.
Hussein Sufiani
Mkurugenzi wa Mawasiliano
12 JULY 2016
Bado ukwepaji wa kodi upo hapo wamefungua kampuni Azam pay tv huko mauritius ilo kulipa kodi ndogo
ReplyDelete