CHADEMA 'Hatuna Muda wa Kuwazungumzia Hao Waliohama Chama Jana'


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimedai hakina muda wa kuwazungumzia Fredy Mpendazoe na Mgana Msindai waliotangaza rasmi kukihama chama hicho jana na kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa maelezo kuwa kuna mambo mengi ya maana zaidi ya kufanya kwa sasa.

Nini maoni yako, na ungependa kuwaambia nini wawili hawa?

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Walikuwa si wanachama walikuwa
    Wacheza mpira hao
    Tangu lini mwanachama wa yanga ahamie simba kisa yanga kafugwa

    ReplyDelete
  2. Hata ningekuwa ni mimi nisingekuwa na muda kabisa wa kuwazungumzia watu wazima vihelehele wasiokuwa na msimamo. Watu wanafiki wazandiki wasiojua ni kitu gani hasa wanachokitaka katika maisha yao. Watu wasiokuwa na sera na mashiko. Sasa kwa mtaji huo huo je ni nani atakayejua yatakayotokea kesho juu ya misimamo yao yenye kuyumbayumba. Watatangaza pia kukihama Chama cha Mapinduzi na pengine safari hii watahamia ACT-Wazalendo. Hawa watu ni nyumbu kabisa waliokatwa mkia.

    ReplyDelete
  3. Naon ni sahihi kwao kwan wameon kama mtu alie chukuwa usukan wa cham ten anaongoz inchi vizur hain budi wao kurud ili wamuung mkono kwan walipo ham hawakufurahishw na walio kuw wanaongoz cham ao inchi ila kwa sasa anae ongoz inch na chama ni mtu sahihi ten walie kuwa wanamhitaji. Kwa hio hamna budi warud ili wamsaidie kwa uongoz bor na weny haki. Na weng watarud kwan kiongoz walie kuwa wanamhitaj mdaa mrefu amepatikan. Huzun iko kweny UKAWA kwani naon upinzan utasambaratik.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shanti wewe
      Pumbavu Kama wao
      Kwani waliitwa ukawa hao

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad