DIAMOND Platnumz Aweka Silaha Chini..Amposti WEMA SEPETU Kwenye Instagram na Kumsapoti...

Mapenzi ya Diamond Platnumz na Wema Sepetu ni miongoni mwa mapenzi yaliokuwa kwenye midomo ya Watanzania wengi kutokana na watu wengi kuvutiwa na ‘Couple’ hiyo,mwishoni mwa mwaka 2014 waliingia kwenye headlines za kuachana na kila mmoja kuendelea na maisha yake.

Diamond Platnumz kwa sasa yuko na Mama mtoto wake Zari huku Wema Sepetu akiwa na mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan,toka Diamond na Wema Sepetu kuachana tumesikia mara kadhaa wakiripotiwa kuwa hawaelewani,lakini July 05 Diamond Platnumz ameamua kuonyeshesha kuwa hawana tofauti kwa kupost tangazo la show ya Christuan Bella na Idris Sultan show ambayo inasemekana imeandaliwa na Wema Sepetu.

Kwa siku kadhaa Wema Sepetu ameonekana akijirekodi akiimba nyimbo za Diamond Platnumz kwenye mtandao wa Snapchat.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nimefurahi sana woote ni watz. binaadamu kusameheana hata mm nitaanza kumpenda na kuusaport mziki wa dai.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha kabisa huna mchango wOwote

      Delete
  2. Zari ndo ajue watanzania hawana kinyongo cha milele. aache kumtusi Wema

    ReplyDelete
  3. Wanarudiana ss ivi kimya kimya

    ReplyDelete
  4. Mola azidi kuwaweka pamoja, waondoe tofauti zao. Yalopita si ndwele wagange yajao.

    ReplyDelete
  5. Alhamdullilah, nimefurahi sana na Eid nitaila kwa rahaaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. mpuuzi wewe eid itaila kwa raha kwa sababu ya Wema na Diamond

      Delete
  6. kumanyoko Anony 10.26 PM. tena nitaila Eid kwa rahaaaaaaaaaaaa. sana sababu ya D na Wema upooo! kafie mbele.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad