HAMISA Mobeto Afunguka Tuhuma za Kutoka na Diamond Kimapenzi Zilizoenea Mtandaoni


Hamisa Amefunguka haya baada ya tetesi kuzagaa mtandaoni kuwa yeye ndio chombo kipya cha Diamond baaada ya kuonesha ukaribu zaidi na familia ya Dai:

"Eti Mdau anauliza kama ilikuwa kazi mbona hukupiga picha na Madam Zari?
Chaaaa!!! From @hamisamobetto - Binadaamu banaa.......
Now days U cant work with anyone wala kua close na yoyote just because unaogopa maneno yatakayo zuka after hiyo shughuli ...
@kendrah_michael @_esmaplatnumz
A birthday to remember 2016
#MamasBigDay ....... Na nshaanza kupokea emails za kazi ety...haya kama unataka upendezeshwe na Hamisa mobeto ung'are sherehe yako iwee ya kuvutia kindly contact me kwa email ya apo kwenye Bio
#HapaKaziTu ...Cc the boss @diamondplatnumz"

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bora Hamisa julie mama Dai hana makombo na hajamuoa huyo Ajuza. kazi yake kuzaa na kutolewa kwenye media. shida ya nn kwamfano!

    ReplyDelete
  2. usijali Hamisa maneno hata kwenye kanga yapo. hao wanaokutukana wanatamani wakazwe wao, wengine washakua na mapengo wanahasira hawana wana wala shepu.

    ReplyDelete
  3. Hamisa endelea na Nassibu halua haina makombo, waache apige kelele Halima mapengo anahasira couz alishatembea na Dai zamani kabla hajazeeka na meno kumtoka.

    ReplyDelete
  4. KWANI DAI KAOA HATA ASIMTIE HAMISA? TUPISHENI NA UZEE WENU WA MAPENGO NA MATENDE.

    ReplyDelete
  5. WIVU WENU WABONGO JAMANI MWACHENI ZARI NDIO KASHALAMBA BINGO KWA SASA NDIYE MMILIKI WA DIAMOND. SEMENI SAAANA MTAISHIA KULALA NA KUKOROMA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad