Hatimaye Agustine MREMA Apewa Kazi na Rais Magufuli...Ateuliwa Kuwa Mwenyekiti wa Bodi...


Rais John Magufuli amemteua Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Agustine Mrema kuwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya PAROLE Tanzania.
Prof. William R. Mahalu, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kilichofanyika hapa Ni cha busara Mrema Ni mtu anaeleweka kwetu Watanzania.. Back track yake Na performance driven vulture inaridhisha Na inajukikana kwetu wote tuliwahi kufanyanae kazi..na mmoja WA wachukiaji ubadhirifu Na Ni Mchapa kazi..na Ni muaminifu..Japo umuri Na afya inanachukua pia mkondo wake..Lakini Mrema tunaweza Na anaweza kututumikia katila nafasi teule..ni mzalendo Na Ni muadilifu..kwa hiyo tunasema karibu Sana Na tuendelee kuchapa kazi kwa ajili ya nchi yetu ambayo Ni Tanzania mpya..na Hapa Ni kazi Tu Na kwaki hatuna shaka kwamba utaendelea kuchapa kazi kwa Kasi zaidi Na kushirikiana na timu ambazo ziko katila Kasi hii..Siasa hatuitaki Na iweprmbeni hapa tunatala Maendeleo Na ibunifu Ili tuweze kuyatua kero Na kujenga Ajiri...chini ya Baba JPJM..KARIBU SANA NREMA..TUNA IMANI NA WEWE TO HUKO NYUMA NA SASA NA BAADAE.

    ReplyDelete
  2. Hii inathibitisha Dhana ya Kizalendo toka kwa Mh Rais JPJM kuwa hii ni Tanzania yetu sote. Hajali itikadi zenu za vyama vyenu anajali uzalendo wenye dhamira ya maendeleo ya nchi... Pia haoni Tabu kumpa anaye amini na kustahiki kuwa ana Nia njema na nchi na ni muwajibikaji wa kuweza kuleta Mabadiliko tunayo yataka sisi Wananchi.. Mh. Mrema anajulikana Vizuri kiutendaji na kiuadilifu na ndiyo maana JPJM kampa wajibu na Jukumu stahiki... Hapa kazi tu..

    ReplyDelete
  3. Hii inathibitisha Dhana ya Kizalendo toka kwa Mh Rais JPJM kuwa hii ni Tanzania yetu sote. Hajali itikadi zenu za vyama vyenu anajali uzalendo wenye dhamira ya maendeleo ya nchi... Pia haoni Tabu kumpa anaye amini na kustahiki kuwa ana Nia njema na nchi na ni muwajibikaji wa kuweza kuleta Mabadiliko tunayo yataka sisi Wananchi.. Mh. Mrema anajulikana Vizuri kiutendaji na kiuadilifu na ndiyo maana JPJM kampa wajibu na Jukumu stahiki... Hapa kazi tu..

    ReplyDelete
  4. Safi sana, kuna mwingine yuko Chadema,ni jembe na anaendana na kasi ya JPJM.Kuanzia sass naomba na kufunga ili apewe kazi na rais.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad