1. WATU WEUSI.
Hawa ndio wanaongoza kwa kuchukiwa na kubaguliwa zaidi duniani. Wanateswa na kunyanyaswa kila sehemu walipo. Ulaya, Marekani, Australia Arabuni, Mashariki ya Kati, Mashariki ya Mbali, na Marekani Kusini. Mbaya zaidi hata huku Africa bado tunaendelea kunyanyaswa na wageni wanaokuja kwa vigezo Vya uwekezaji. Hawa wanapora ardhi ya wanyonge
2. WAISLAM
Hili ni kundi linalofuatia kwa kuchukiwa. Sababu kuu ikiwa ni
propaganda za kimagharibi na dhana ya ugaidi.
3. WAYAHUDI
Hawa wanachukiwa zaidi na nchi za Kiarabu na mataifa ya Kiislam. Sababu kubwa hasa zikiwa ni za kihistoria na mgogoro wa Mashariki ya Kati.
WAYAHUDI pia wameshawahi kuteswa na utawala wa Ki Nazi chini ya Adolf Hitler . Sababu kubwa ilikuwa ni mafanikio ya kiuchumi waliyokuwa nayo WAYAHUDI nchini Ujerumani na Ulaya kwa ujumla.
4. WAARABU
Licha wa kuwa si wote ni magaidi, Bali wamekuwa wakihukumiwa kwa asili yao. Nchi nyingi zinawaogopa na hazina imani nao
HUO NI UTAFITI WAKO WA KIBINAFSI.WATU WEUSI HAWACHUKIWI UARABUNI KWANI WENGI WAO WAMEINGILIANA KIFAMILIA NA WARABU KULIKO KOTE DUNIANI.MTU ANACHUKIWA KWA TABIA ZAKE SIO RANGI YAKE.
ReplyDeleteWAISLAMU LAZIMA WATACHUKIWA SABABU NDIO DINI INAYOKUWA KWA KASI DUNIANI NA MEDIA ZINAZOSAMBAZA UONGO JUU YA UISLAMU.HAWAWEZI KUMTAJA YOYOTE ASIEKUWA MUISLAMU KWA DINI YAKE ANAPORIPUA BOMU.UNASIKIA JINA TU.NA BAADA YA KUONEKANA NDIO DINI YA HAKI.KILA ANAESEMA UKWELI ANACHUKIWA DUNIANI LAKINI NDIE KIPENZI CHA MUUMBA DUNIA.
ReplyDeleteWAARABU LAZIMA WACHUKIWE MAANA WENGI WAO NI WAISLAMU.NA WENGI WAO NI WABISHI KUIGIZA MILA ZISIZOKUWA ZAO.
ReplyDeleteMAYAHUDI WANAJUA WENYEWE SABABU ZA KUCHUKIWA.HAWA NI WATU WASIOKUWA NA AHADI.TANGU ENZI ZA MITUME NA MANABII.
ReplyDeleteshukran yote ni kweli tupu
ReplyDelete