Hichi ni Kiasi cha Pesa Kilichoingia Tangu Daraja la Kigamboni Lianze Kutumika



Tangu daraja jipya la Kigamboni lianze kutumika rasmi tarehe 19/04/2016 limekusanya jumla ya shilingi bilioni 1.3 kutokana na tozo za vyombo vya usafiri.

Daraja hilo liligharimu dola za kimarekani milioni 136 ambazo ni takribani bilioni 300 kwenye ujenzi wake.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hichi siyo Kiswahili sanifu katika uandishi wa habari

    ReplyDelete
  2. MISHAHARA TZ BADO KIDUCHUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad