Huyu Hapa Ndio Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza aliyeteuliwa leo Baada ya David Cameron Kujiuzulu
4
July 13, 2016
Mama Theresa May (59) wa chamacha Wahafidhina (Conservative Party) leo ameteuliwa rasmi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza wa pili mwanamke (baada ya Margaret Thatcher aliyeongoza kati ya mwaka 1979 hadi 1990 na Waziri mkuu wa 12 tokea utawala wa Malkia Elizabeth, na Waziri Mkuu wa 76 wa Uingereza) katika hafla ya faragha iliyofanyika katika kasri ya Malkia Elizabeth jijini London. Na tayari Malkia amemwomba aunde serikali, kuirithi ya Waziri Mkuu wa zamani David Cameron aliyeachia ngazi baada ya kura ya maoni iliyowafanya Waingereza wajitoe Umoja wa nchi za Ulaya.
Tags
Jecha upo ?
ReplyDeleteZanzibar vipi ?
Wasiojua kupiga magoti wakiwa wanasalimia ni wachaga tu. Ata Baba/Mama mkwe anawasalimia akiwa amesimama Kama mlingoti. Ata Mama yake mzazi Anamsalimi utafikiri ni nguzo ya umeme.
ReplyDeleteUsikashifu wachaga wewe
DeleteWangekuwa si wazuri
Viongozi wangapi wa Tanzania wameoa wachaga
Kupiga magoti ni mila kwa taarifa yako basi wachaga ni best
Kwa kila kitu
Pumbavu wewe usilete ukabila hapa kama kupiga goti ndo heshima huyo mkeo anayekupigia goti mbona anagaragazwa nje...heshima ni tabia matendo na mwenendo wa mtu kuanzia maongezi yake vaa yake mikao yake..na awajibikavyo kwa makosa yake.....next tym dont open yo mouth if yu dont have anything nice to say..dont say anything at all...
ReplyDelete