Huyu Hapa Ndio Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza aliyeteuliwa leo Baada ya David Cameron Kujiuzulu

Mama Theresa May (59) wa chamacha Wahafidhina (Conservative Party) leo ameteuliwa rasmi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza wa pili mwanamke (baada ya Margaret Thatcher  aliyeongoza kati ya mwaka 1979 hadi 1990  na Waziri mkuu wa 12 tokea utawala wa Malkia Elizabeth, na Waziri Mkuu wa 76 wa Uingereza) katika hafla ya faragha iliyofanyika katika kasri ya Malkia Elizabeth jijini London. Na tayari Malkia amemwomba aunde serikali, kuirithi ya Waziri Mkuu wa zamani David Cameron aliyeachia ngazi baada ya kura ya maoni iliyowafanya Waingereza wajitoe Umoja wa nchi za Ulaya.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jecha upo ?
    Zanzibar vipi ?

    ReplyDelete
  2. Wasiojua kupiga magoti wakiwa wanasalimia ni wachaga tu. Ata Baba/Mama mkwe anawasalimia akiwa amesimama Kama mlingoti. Ata Mama yake mzazi Anamsalimi utafikiri ni nguzo ya umeme.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usikashifu wachaga wewe
      Wangekuwa si wazuri
      Viongozi wangapi wa Tanzania wameoa wachaga
      Kupiga magoti ni mila kwa taarifa yako basi wachaga ni best
      Kwa kila kitu

      Delete
  3. Pumbavu wewe usilete ukabila hapa kama kupiga goti ndo heshima huyo mkeo anayekupigia goti mbona anagaragazwa nje...heshima ni tabia matendo na mwenendo wa mtu kuanzia maongezi yake vaa yake mikao yake..na awajibikavyo kwa makosa yake.....next tym dont open yo mouth if yu dont have anything nice to say..dont say anything at all...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad