Jakaya Kikwete: Mtu uliwahi kuwa Waziri Mkuu, sasa unagombea Uenyekiti wa Wilaya ya Kibaha
16Udaku SpecialJuly 23, 2016
Mwenyekiti anayestafu wa CCM naona katupa jiwe gizani kwa Sumaye. Baada ya kushangazwa na hatua yake ya kugombea uenyekiti wa wilaya Kibaha (Chadema) huku aliwahi kuwa waziri Mkuu..
Acheni unafiki CCM Kuna watu walikuwa mawaziri wakuu Makamu wa rais Mwishowe waziri asiye kuwa wizara Sumaye hayuko ccm Yupo chadema anakwenda kukijenga chama Si Kama nyinyi ccm kazi yenu kuchukuwa makapi ya upinzani kuwapa vyeo Mpeni na tuliyemvua uongozi kwa mbatia
Nyie mnaobishana kwenye mitandao nawashangaa,fanyeni yenu viongozi waacheni wenyewe wanajuana,sumaye c alikuwa ccm co muda why hajayatatua matatizo ya wananchi? Amaetoka juzi Tu huko ccm so tuwaache wenyewe.fanyeni kazi vijana kwa bidii ili upate unafuu WA maisha,mkikalia ya watu yenu mtayafanya saa ngp????????
Haya mambo ni ya kitaifa yanatugusa wote, Ni mjinga asemaye acheni. Hivi nyi watu mnakisomo chochote. mnaujua wajibu wenu kama Watanzania katika Taifa hili. Vilaza nyinyinyi.
Rais Jimmy Carter alikuwa kiongozi wa USA na sana anafundisha shule ya vidudu ( Katekisimo katika kanisa lake!!)Kwahiyo kila mtu ana mipangilo yake ya kuishi. Watu wengine awapendi kujikweza.
Naye akafungue shule yake au kwenye Kanisa lake akafundishe huko ndio tutasema sio kujikweza, sio mpango wa madarakani serikalini, huko ni kujikweza, kila siku wao tu na wengine wanataka Pia hizo kazi ili kujipatia kipato Pia sio swala tu la kutumikia jamii, ni kipato piaaaa na madaraka
Ni kweli. Mtu umewai kuwa waziri tena mkuu. Alafu unaubuka tena unataka uwenyekiti wa mkoa au wilaya, sasa mtu kama huyu sijui aitwe kafuria, au tamaa ya kuwa mtu furani katika jamii, hakuna cha kutumikia wala Nini? Kuna wengi tu wanayoitaka hiyo ajila, kwani ni ajila nayo, yeye alishapata ajila tena ya juuu kabisa ilitakiwa awe anaitwa mstaafu sasa sio kukimbizana na tuajila vya chini chini, vya uongozi serikalini hiii ni tamaaa iliyomshinda fisi, mwisho wa siku unakuwa unatia aibu na heshima yako unajipunguzia
Bado anauchungu na taifa hili. Ni mzalendo. hata akiwa mjumbe wa nyumba kumi. Anajua thamani ya kuwaelimisha watu wote. Ni nyinyi Wajinga mnaongea utumbo mtupu. elimu hafifu na uswahili mbsle bila ustaarabu. Wastaarabu ni wachache sana. Kuwa kiongozi si kuwa mstaarabu. Ustaarabu ni matendo yajionyesha kimaongezi, kimavazi, adabu za kula, kupanua midomo au kula kiustaarabu, namna ya kucheka hadharani, kutembea. Wengi hawajui haya. ukifananisha vyeo na mienendo hii niliyoitaja wengi wanaaibika bila kujijua. inabidi viongozi wengi wafundwe .
Kanuni za kudharslishana hazina faida. Watu hujidharalisha wenyewe wenye busara hawasemi ovyo wanatenfa. Mitendo cha rsisi kumdharalisha kiongozi kisiasa hadharani ni kujidharalisha mwenyewe. Kufikiri kabla ya kuongea, au kuomba ushauri wa matumizi ya lugha kabla ya kutoa, mtu yeyote mwenye mapenzi ya nchi, jamii, taifa atatumia elimu, experience, mali, na muda muanzia ngazi ya chini mpaka juu. Kuna watu hawataitumia elimu yao kwa manufaa ya mtu asiye na kisomo sababu wanajiona hawapo sawa na wanangazi za juu kupita mwingine. Nyerere alimheshimu kila mtu, alikuwa msomi, alijua sheria, hotuba zake zote zimo vitabuni. Alitoa hotuba kubwa mpaka leo watu wanazisoma. Hakujikweza hasa.kati ya wasomi maraisi, wenye hadhi, hekima , akili, adabu, ni yeye peke yake yake. Tulimpata shujaa, mtu wa watu, na Sokoine, hili Taifa sidhani kama kuna mwingine. Hakuwa na majivuno.sasa nchi hii tunakokwenda kukabidhiana viongozi kwa nguvu, kulindana, na wakati huohuo raisi wa sasa anatumbua, je ataweza tumbua iwapo anakabidhiwa chanzo cha matatizo nchiniInaonekana kakubali maovu anayotaka kuyarekebisha yaendelee. Na hayupo huru. Utakuwaje shujaa namna hii.anataka kutumbua anapigwa stop asitumbue wakuu.
SUMAYE ANAGOMBEA UENYEKITI WA WILAYA ANGALAU HATA ASIKIKE KAMA YUPO SASA ATASIKIKA WAPI TENA MAANA HABARI YA UCHAGUZI IMEISHA NA NDIYO ILIMPA KICK YA KUWA ANASIKIKA KWENYE MAJUKWAA.
Ni aibu!
ReplyDeleteAcheni unafiki CCM
ReplyDeleteKuna watu walikuwa mawaziri wakuu
Makamu wa rais
Mwishowe waziri asiye kuwa wizara
Sumaye hayuko ccm
Yupo chadema anakwenda kukijenga chama
Si Kama nyinyi ccm kazi yenu kuchukuwa makapi ya upinzani kuwapa vyeo
Mpeni na tuliyemvua uongozi kwa mbatia
Nyie mnaobishana kwenye mitandao nawashangaa,fanyeni yenu viongozi waacheni wenyewe wanajuana,sumaye c alikuwa ccm co muda why hajayatatua matatizo ya wananchi? Amaetoka juzi Tu huko ccm so tuwaache wenyewe.fanyeni kazi vijana kwa bidii ili upate unafuu WA maisha,mkikalia ya watu yenu mtayafanya saa ngp????????
DeleteHaya mambo ni ya kitaifa yanatugusa wote, Ni mjinga asemaye acheni. Hivi nyi watu mnakisomo chochote. mnaujua wajibu wenu kama Watanzania katika Taifa hili. Vilaza nyinyinyi.
DeleteRais Jimmy Carter alikuwa kiongozi wa USA na sana anafundisha shule ya vidudu ( Katekisimo katika kanisa lake!!)Kwahiyo kila mtu ana mipangilo yake ya kuishi. Watu wengine awapendi kujikweza.
ReplyDeleteNaye akafungue shule yake au kwenye Kanisa lake akafundishe huko ndio tutasema sio kujikweza, sio mpango wa madarakani serikalini, huko ni kujikweza, kila siku wao tu na wengine wanataka Pia hizo kazi ili kujipatia kipato Pia sio swala tu la kutumikia jamii, ni kipato piaaaa na madaraka
DeleteNina tusi ila ngoja nilimezee tumbon maana nitakamatwa ila namalizia mixeeewwwww hovyoo..hasa ukishakuwa mtu mzima
ReplyDeleteNi kweli. Mtu umewai kuwa waziri tena mkuu. Alafu unaubuka tena unataka uwenyekiti wa mkoa au wilaya, sasa mtu kama huyu sijui aitwe kafuria, au tamaa ya kuwa mtu furani katika jamii, hakuna cha kutumikia wala Nini? Kuna wengi tu wanayoitaka hiyo ajila, kwani ni ajila nayo, yeye alishapata ajila tena ya juuu kabisa ilitakiwa awe anaitwa mstaafu sasa sio kukimbizana na tuajila vya chini chini, vya uongozi serikalini hiii ni tamaaa iliyomshinda fisi, mwisho wa siku unakuwa unatia aibu na heshima yako unajipunguzia
ReplyDeleteBado anauchungu na taifa hili. Ni mzalendo. hata akiwa mjumbe wa nyumba kumi. Anajua thamani ya kuwaelimisha watu wote. Ni nyinyi Wajinga mnaongea utumbo mtupu. elimu hafifu na uswahili mbsle bila ustaarabu. Wastaarabu ni wachache sana. Kuwa kiongozi si kuwa mstaarabu. Ustaarabu ni matendo yajionyesha kimaongezi, kimavazi, adabu za kula, kupanua midomo au kula kiustaarabu, namna ya kucheka hadharani, kutembea. Wengi hawajui haya. ukifananisha vyeo na mienendo hii niliyoitaja wengi wanaaibika bila kujijua. inabidi viongozi wengi wafundwe .
DeleteKanuni za kudharslishana hazina faida. Watu hujidharalisha wenyewe wenye busara hawasemi ovyo wanatenfa. Mitendo cha rsisi kumdharalisha kiongozi kisiasa hadharani ni kujidharalisha mwenyewe. Kufikiri kabla ya kuongea, au kuomba ushauri wa matumizi ya lugha kabla ya kutoa, mtu yeyote mwenye mapenzi ya nchi, jamii, taifa atatumia elimu, experience, mali, na muda muanzia ngazi ya chini mpaka juu. Kuna watu hawataitumia elimu yao kwa manufaa ya mtu asiye na kisomo sababu wanajiona hawapo sawa na wanangazi za juu kupita mwingine. Nyerere alimheshimu kila mtu, alikuwa msomi, alijua sheria, hotuba zake zote zimo vitabuni. Alitoa hotuba kubwa mpaka leo watu wanazisoma. Hakujikweza hasa.kati ya wasomi maraisi, wenye hadhi, hekima , akili, adabu, ni yeye peke yake yake. Tulimpata shujaa, mtu wa watu, na Sokoine, hili Taifa sidhani kama kuna mwingine. Hakuwa na majivuno.sasa nchi hii tunakokwenda kukabidhiana viongozi kwa nguvu, kulindana, na wakati huohuo raisi wa sasa anatumbua, je ataweza tumbua iwapo anakabidhiwa chanzo cha matatizo nchiniInaonekana kakubali maovu anayotaka kuyarekebisha yaendelee. Na hayupo huru. Utakuwaje shujaa namna hii.anataka kutumbua anapigwa stop asitumbue wakuu.
ReplyDeleteSasa inakuhusu nini?nenda kapumzike msoga,mnataka kila mtu ashabikie udhalimu wenu?
ReplyDeletekamanda sawwaaa! pigia mstari maneno yako.
DeleteSUMAYE ANAGOMBEA UENYEKITI WA WILAYA ANGALAU HATA ASIKIKE KAMA YUPO SASA ATASIKIKA WAPI TENA MAANA HABARI YA UCHAGUZI IMEISHA NA NDIYO ILIMPA KICK YA KUWA ANASIKIKA KWENYE MAJUKWAA.
Deletewewe ndio zero kabisa sio eye ni yeye dear
DeleteHivi eye si ndo Mr. ZERO?
ReplyDeletewewe ndio zero kabisa kwani hata kiswahili hujui eye ndio kitu gani sema(yeye)
ReplyDelete