Kamanda wa Polisi Kayaongea Kuhusu Mtanzania Aliyewekwa Rehani Pakistani

Baada ya wiki hii katika mitandao ya jamii kusambaa video inayomuonesha kijana mtanzania anayetambulika kwa jina la Adam Akida anayedaiwa kuwekwa Rehani nchini Pakistani kutokana na biashara ya dawa za kulevya.

Kamanda wa polisi mkoa wa Kinondoni, Christopher Fuime amezungumza kuhusu mtanzania huyu na kusema…
Ile issue tumeifuatilia kwa bahati mbaya imeshaenea katika vyombo mbalimbali vya habari kwahiyo imekuwa ni vigumu sana kuwapata ndugu wake wa karibu lakini bado tunaendelea kufanya uchunguzi wa hali ya juu kuhusu huyu mtanzania aliyewekwa Rehani‘ Christopher Fuime

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad