PICHA TUMEIONA NA INA KERA.HASA SEHEMU YA TOKEO.(KWENYE BUNGE) HAITEGEMEWI WALA KUDHANIWA KATIKA SEHEMU HIYO MTU AU WATU AU KIKUNDI KUWEZA KUONYESHA UTOVU WA NIDHAMU KIASI HICHO. ADHABU NI SAHIHI NA NI LAZIMA AAHIDI KUWA HATO RUDIA TENA NA AOMBE SAMAHANI KWETU SISI WATANZANIA TUNAO IANGALIA HII PICHA YENYE MAUDHIKO AMBAYO KILA MMOJA ANAWEZA KUITAFSIRI ANAVYO ONA SAWA. KWA UJUMLA HAIPENDEZI WALA KURIDHISHA.. TUJIHESHIMU TUNAOITWA WAHESHIMIWA NA TU WE NA VIGEZO VYA UHESHIMIWA VIPASAVYO...

ReplyDeleteWalistahili kufanyiwa hivyo kwa sababu ya matendo yao_Big up Sugu
ReplyDeleteIlkuwa namna pekee na nzuri ya kuwaonyesha kuwa hakufurahishwa na tabia zao za kukandamiza democrasia-Big Up sugu
ReplyDeleteduu kweli inakera sana!!!why sugu?
ReplyDeletekwan hiyo ishara maana yake nn?mnaojua mtujuze....
ReplyDeletesuguuuu!
ReplyDelete