Katika Picha..Hichi Ndio Kilipelekea Mbunge Sugu Kuadhibiwa Bungeni


KATIKA PICHA: Hiki ndicho kilipelekea Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi(Sugu) wa CHADEMA kuadhibiwa bungeni
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. PICHA TUMEIONA NA INA KERA.HASA SEHEMU YA TOKEO.(KWENYE BUNGE) HAITEGEMEWI WALA KUDHANIWA KATIKA SEHEMU HIYO MTU AU WATU AU KIKUNDI KUWEZA KUONYESHA UTOVU WA NIDHAMU KIASI HICHO. ADHABU NI SAHIHI NA NI LAZIMA AAHIDI KUWA HATO RUDIA TENA NA AOMBE SAMAHANI KWETU SISI WATANZANIA TUNAO IANGALIA HII PICHA YENYE MAUDHIKO AMBAYO KILA MMOJA ANAWEZA KUITAFSIRI ANAVYO ONA SAWA. KWA UJUMLA HAIPENDEZI WALA KURIDHISHA.. TUJIHESHIMU TUNAOITWA WAHESHIMIWA NA TU WE NA VIGEZO VYA UHESHIMIWA VIPASAVYO...

    ReplyDelete
  2. Walistahili kufanyiwa hivyo kwa sababu ya matendo yao_Big up Sugu

    ReplyDelete
  3. Ilkuwa namna pekee na nzuri ya kuwaonyesha kuwa hakufurahishwa na tabia zao za kukandamiza democrasia-Big Up sugu

    ReplyDelete
  4. duu kweli inakera sana!!!why sugu?

    ReplyDelete
  5. kwan hiyo ishara maana yake nn?mnaojua mtujuze....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad