Khadija Kopa Adai Ngono Inawazeesha Wasichana Wengi


Malkia wa mipasho Khadija Kopa amefunguka kwa kusema kuwa ngono ni moja kati ya vitu ambavyo vinawazeesha wasichana wengi.

Akiongea katika kipindi cha Ulimwengu wa Filamu kinachoruka TBC 1 Jumamosi hii, Khadija Kopa amesema yeye hazeeki kwa sababu siyo mtu wakuendekeza maswala ya ngono.

“Mimi najitunza sana ndo maana kila siku naonekana bado mbichi,” alisema Khadija. “Unajua wasichana wengi wanaendeleza maswala ngono, ngono inazeesha sana, haya makrimu ndo usiseme, ukiweza kukaa nayo mbali basi kila siku utaonekana mbichi,”

Katika hatua nyingine, muimbaji huyo amewataka mashabiki wake wa muziki kusubiria kazi mpya ambazo ataziachia hivi karibuni.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Halllo
    Acha uongo
    Kila kukicha unaolewa hukai na mme mmoja
    Kulikoni kama singono

    ReplyDelete
  2. yeye kaolewa mara ngapi. kama hapendi ngono!

    ReplyDelete
  3. Kweli mama ngono na pombee

    ReplyDelete
  4. Mbona unaonekana kama umezeeka ua ni macho yangu!!

    ReplyDelete
  5. Hadija anapenda wanaume kama pipi, awadanganye wasomjua

    ReplyDelete
  6. pengine anaachika kwa vile hapendi hiyo ngono

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad